Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuJf sio ya kuiamini sana ukute Mwanachama anaishi Homboza
Asante mkuuPanda gari za makumbusho ama za mawasiliano, kisha panda gari za gongo la Mboto , huko gongo la mboto utapata za chanika.
Shukran mkuuTafuta usafiri mpaka mbezi luis,mbezi luis kuna daladala za gongo la mboto ukifika gongo la mboto kuna za Chanika.
Ama option ya pili panda daladala mpaka Kariakoo machinga kuna daladala za Homboza ambazo ndio za chanika.
Au option ya tatu panda daladala hadi Makumbusho au Moroco hapo zipo daladala za gongo la mboto panda,shuka mwisho panda za chanika.
Waweza tumia kama 2400 mpaka unafika.Maana nauli 800 each.
Wazo lako limenilenga. Huwa nikiwa na muda wa ku-relax ama likizo Kuna wakati huwa ninaamua kutembelea sehemu flani ambayo sijawahi fika humu humu Dar ili nijionee mazingira.Muwe mnazurula, sometimes inasaidia kujua maeneo hata ukipata ishu ni chap unaibuka.
Enewei bila shaka umesaidika.
Ndio hivyo, unapata dili njoo kidogo chekundu. Unaanza kuwaza safari ya kigoma kumbe ni dar hapahapa.Wazo lako limenilenga. Huwa nikiwa na muda wa ku-relax ama likizo Kuna wakati huwa ninaamua kutembelea sehemu flani ambayo sijawahi fika humu humu Dar ili nijionee mazingira.