passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Ingia Facebook au GoogleWAkuu habari za usiku huu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi aina ya milkshake, vitu vinavyowekwa humo mpaka inakamilika kwa ajili ya kunywewa.
Mbali na hilo naomba kufahamishwa mchanganyiko mzuri wa juisi inayopendwa na nzuri kwa ajili ya biashara.
Ahsanteni na karibuni.
Milkshake mkuu.Milkshake au smoothie?
milkshakes sio juice mkuu!..Milkshake mkuu.
Mkuu,milkshakes sio juice mkuu!..
nijuavyo milkshakes ni radha za ice cream unamix na maziwa then unablend au ku shake.. let's say chocolate milkshake.
unachukua ice cream ya chocolate aidha cooper 3 na maziwa kidogo tu unawezaweka na barafu kidogo kama utahitaji then unablend.. ukushamimina kwenye glass kama una whipped cream π¦ unamiminia kwa juu inakuwa kama hivyo hicho ki mchoro!.
ni nzuri kwa watoto hata watu wazima, pia unaweza kumix aidha chocolate na vanilla n.k
smoothie,labda hii ndio unayoizungumzia wewe hii ndo inakuwa kama juice lakini tofauti yake hii ni mixer ya maziwa na matunda mfano banana & avocado smoothie n.k
Asante Madam.Mimi sio mjuzi sana wa milkshake labda nikusaidie hii ya banana milkshake
Maziwa fresh nusu Lita
Ice cream vikopo vidogo 2
Chocolate biscuit zile zenye rangi ya brown kabisa
Ndiz Tatu
Vanilla flavour
Weka vyote kwenye Brenda ispokuwa biscuit
Saga Kwa dakika 2 Kisha minina kwenye glass Kisha vunja vunja biscuit weka juu ya milkshake yako enjoy
yeah sifa ya smoothie inatakiwa iwe nzito kiasi sio sana na ndio maana mirija ya kunywea smoothie ni mikubwa kiasi..Mkuu,
Asante kwa elimu, vipi hii smoothie unaelewa jinsi inavyotengenezwa?
Ukisema hivyo, maana yake JF ifungwe, itakosa kaziIngia Facebook au Google
Nipe ya tembele maana ndo ugonjwa wanguππbut also you can visit YouTube to learn more,kuna smoothie nyengine ni vituko kama sio vichekesho..!
ulishaona smoothie ya mchicha wewe...?
basi kaa ukijua ipo!,haitoshi ipo nyengine mpk ya bilinganya! utakufa na roho yako binadamu si watu...π€£
mpk blender inaweza ikaweka mgomo!Nipe ya tembele maana ndo ugonjwa wanguππ
πππmpk blender inaweza ikaweka mgomo!
yanga wamedhulumiwa goliMkuu wew ni mchaga au? Maana mada zako ni jinsi ya kutengeneza pesa tu. Embu utuletee na mada za madini au yanga.
Juisi ya nini wakati Mo energy ipo [emoji23][emoji23]
ukweli usemwe yule kipara raisi hafai kabisa. Mkuu samahani lakin kwanni kwenye mada ya juisi unasema yanga kadhulumiwa?yanga wamedhulumiwa goli
Mkuu wew ni mchaga au? Maana mada zako ni jinsi ya kutengeneza pesa tu. Embu utuletee na mada za madini au yanga.
Juisi ya nini wakati Mo energy ipo ππ
Milkshake ni aina ya smoothie. Ila sio kila smoothie ni milkshake.Milkshake au smoothie?