Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Anaweza kuweka na biscuits ndani itatoka poa sana. Ila haya makitu wanaotakiwa kuyafaidi ni watu wembamba. Ukiwa mnene haya madude usitumie kwa uroho yana nenepesha balaa.Mimi sio mjuzi sana wa milkshake labda nikusaidie hii ya banana milkshake
Maziwa fresh nusu Lita
Ice cream vikopo vidogo 2
Chocolate biscuit zile zenye rangi ya brown kabisa
Ndiz Tatu
Vanilla flavour
Weka vyote kwenye Brenda ispokuwa biscuit
Saga Kwa dakika 2 Kisha minina kwenye glass Kisha vunja vunja biscuit weka juu ya milkshake yako enjoy
Biscuits nzuri achukue zile za Oreo ndizo nzuri. Hizi za uchochoroni ni wizi mtupu. View attachment 2978508