Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza juisi ya MILKSHAKE

Anaweza kuweka na biscuits ndani itatoka poa sana. Ila haya makitu wanaotakiwa kuyafaidi ni watu wembamba. Ukiwa mnene haya madude usitumie kwa uroho yana nenepesha balaa.


Biscuits nzuri achukue zile za Oreo ndizo nzuri. Hizi za uchochoroni ni wizi mtupu. View attachment 2978508
 
Shukrani sana
 
Milkshake maziwa fresh rose srypu ice cubes una blend pamoja unatia kwenye glass tayari kunywa unaweza kuongezea tukmaria seed unaloweka kisha unatia kwenye milkshake
 
Milkshake na Juice ni vitu viwili tofauti. Juice ya milkshake labda huko kwenu Ngudu ndo ipo
 
Mixer ya mtindi mzito na embe la safarani saga Kwa blender utaenjoy!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…