Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,683
- 4,900
Haha haha haha Mkuu kwa hakika wewe Kweli ni MsemachochoteKama ulitaka nyama ungeenda buchani. Sometimes ni vema kutumia kidogo ulichopewa kupata kingine, na sio kulazimishwa upewe vyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha haha haha Mkuu kwa hakika wewe Kweli ni MsemachochoteKama ulitaka nyama ungeenda buchani. Sometimes ni vema kutumia kidogo ulichopewa kupata kingine, na sio kulazimishwa upewe vyote
MCHaha haha haha Mkuu kwa hakika wewe Kweli ni Msemachochote
Habari Za mchana Naomba kwa mwenye uelewa juu ya makampuni ya bima Za magari anifamishe. Nahitaji kampuni ambayo pindi upatapo tatizo siyo wasumbufu kukulipa. Naomba kiwasilisha
Nashukuru sana kwa mchango wako mkuu Vipi uhakika wa pesa yangu ambapo broker atafilisika au kufa. Naomba kufahamu badhii ya hao broker
Insurance broker mzuri ni Ndege Insurance Company, kama ni insurance company basi NICO wapo vizuri
Mkuu umemuelezea vizuri sana ila mi ushauri wangu ni heri aende direct kwa insurer ambapo ana mtu ndani especially upande wa madai kuliko kwa brokers ... brokers % kubwa nwdays ni matatizoUpo sahihi kabisa mkuu, ndio maana mtu anapaswa kwenda sehemu sahihi.Wapo brokers ambao hata huo utaalamu hawana, ni ujanjaujanja tu.
Pia insurers nao wapo makanjanja wasiolipa claims mkuu.Mkuu umemuelezea vizuri sana ila mi ushauri wangu ni heri aende direct kwa insurer ambapo ana mtu ndani especially upande wa madai kuliko kwa brokers ... brokers % kubwa nwdays ni matatizo
Uko deep, bila shaka uko kwenye hii tasnia..lolMkuu unachanganya kati ya broker na company... Ndege ni INSURANCE BROKERS sio INSURANCE COMPANY.
Pia kwa sasa hakuna kampuni ya bima iitwayo NICO bali ilikuwa inaitwa NIKO na wameshabadilisha jina wanaitwa SANLAM GENERAL INSURANCE COMPANY
Kwa Bima za magari huu mfumo mpya wa kuhakiki kwenye mtandao utamsaidia mteja kujua uhalali wa bima yake.. kama ukiona bima yako haisomi basi unapaswa kufatilia mapema iwezekanavyo..Insurance broker mmoja aliniambia hivi hivi sema shida ni kuwa wapo magumashi ambao sometimes hawafikishi hela!
CRDB matawi yote wanakatisha bima za aina zote, fika upate huduma bora za bima.Habari Za mchana Naomba kwa mwenye uelewa juu ya makampuni ya bima Za magari anifamishe. Nahitaji kampuni ambayo pindi upatapo tatizo siyo wasumbufu kukulipa. Naomba kiwasilisha
Nilimaanisha Ndege Insurance brokerMkuu unachanganya kati ya broker na company... Ndege ni INSURANCE BROKERS sio INSURANCE COMPANY.
Pia kwa sasa hakuna kampuni ya bima iitwayo NICO bali ilikuwa inaitwa NIKO na wameshabadilisha jina wanaitwa SANLAM GENERAL INSURANCE COMPANY
Uzuri hakuna binadamu aliye kamilika na anaye jua kila kitu maana hata wewe hicho ukijuacho ulipata wa kukuelekeza na ukadadisi na ukaelewa ,hata wewe ipo siku utaomba kusaidiwa kwa jambo lolote iwe humuhumu jf au hata mahali pengine sijui ukipewa jibu la aina hii utajisikiaje wewe kama muuliza swali, unapo pata mtu anaye jua kitu fulani nirahisi zaidi kumuelewa kwa sababu utauliza zaid upajte ufafanuzi na utajibiwa na usipo elewa utauliza tena na utaeleweshwa na mwisho wa siku una elewa kwa kina kabisa.Kama ulitaka nyama ungeenda buchani. Sometimes ni vema kutumia kidogo ulichopewa kupata kingine, na sio kulazimishwa upewe vyote
Brother achana na watu wa aina hii, just wapuuze yamkimi hata hawana baiskeli ndo maana wanajibu nonsenseUzuri hakuna binadamu aliye kamilika na anaye jua kila kitu maana hata wewe hicho ukijuacho ulipata wa kukuelekeza na ukadadisi na ukaelewa ,hata wewe ipo siku utaomba kusaidiwa kwa jambo lolote iwe humuhumu jf au hata mahali pengine sijui ukipewa jibu la aina hii utajisikiaje wewe kama muuliza swali, unapo pata mtu anaye jua kitu fulani nirahisi zaidi kumuelewa kwa sababu utauliza zaid upajte ufafanuzi na utajibiwa na usipo elewa utauliza tena na utaeleweshwa na mwisho wa siku una elewa kwa kina kabisa.
Mkuu unachanganya kati ya broker na company... Ndege ni INSURANCE BROKERS sio INSURANCE COMPANY.
Pia kwa sasa hakuna kampuni ya bima iitwayo NICO bali ilikuwa inaitwa NIKO na wameshabadilisha jina wanaitwa SANLAM GENERAL INSURANCE COMPANY
Mkuu sorry kidogo... hivi SANLAM before ilikuwa sio African Life?
Hawa Niko **** mzungu mmoja walimsumbua kumlipa pesa zake baada ya kuacha Nazi hawa mi nawaogopaMkuu unachanganya kati ya broker na company... Ndege ni INSURANCE BROKERS sio INSURANCE COMPANY.
Pia kwa sasa hakuna kampuni ya bima iitwayo NICO bali ilikuwa inaitwa NIKO na wameshabadilisha jina wanaitwa SANLAM GENERAL INSURANCE COMPANY