De panther
Member
- Jul 9, 2022
- 80
- 108
Ahsante kwa ushauri mkuuAchana na kazi ya kufundisha wanaadamu, siku hizi mwalim ni pesa na muda. Acha kusoma nenda kijijini kwenu kata eneo lima
Sawa saw mkuuAchana nayo
Ahahah!! Sawa mkuu nimekupataUshauri pekee ambao ni muhimu ni kwamba achana na kozi za education, ukishindwa kabisakabisa labda ile yenye special needs education au physical education...
ILA ACHANA NA HABARI ZA KOZI ZA UALIMU maana utakuja kumpa Mungu lawama za bure kukuumba mwanadamu
Soma hiyo mkuu, kama n Education kwa Arts subject hyo ndo ya kusoma lazma watakuajili tu ajira za ualimu mwaka huu wengi wamechukuliwa ndo wanafit zaidi kufundisha primary schoolHabari za muda huu wanajamvi.
Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu.
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya hkl.
Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii.
Ahsanteni!!!
Ukifika chuo soma English language usiende soma sjui ma KI sjui Ma KF (Na maanisha kiswahili)Soma hiyo mkuu, kama n Education kwa Arts subject hyo ndo ya kusoma lazma watakuajili tu ajira za ualimu mwaka huu wengi wamechukuliwa ndo wanafit zaidi kufundisha primary school
Ahsante sana bossUkifika chuo soma English language usiende soma sjui ma KI sjui Ma KF (Na maanisha kiswahili)
πππ sawa mkuuWewe soma tu..ila usjie humu kulialia kusema serikali inaajiri lini?
Mana walimu mnatusumbua sana kwa nyuzi za kulialia..mnakera sana.
#MaendeleoHayanaChama
Mkuu akisoma hyo education ya Early childhood na akasoma English hawez kuja tusumbua sababu serikali inawajili hao kuwapeleka primary kwa wingi ata private schools level ya primary hawezi kosa kaziWewe soma tu..ila usjie humu kulialia kusema serikali inaajiri lini?
Mana walimu mnatusumbua sana kwa nyuzi za kulialia..mnakera sana.
#MaendeleoHayanaChama
Ni course ya ualimu wa shule ya msingi; kwa ajira za juzi hapa walipendelewa sana waliosoma hiyo degree; ingawa sikushauri sana uisomeHabari za muda huu wanajamvi.
Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu.
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya hkl.
Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii.
Ahsanteni!!!
Ni moja ya kozi ambayo ni nzuri lakini pia ina fursa nyingi mbali na kuwa mwalimu na usikatishwe tamaa na mtu kikubwa angalia nn kinafaa binafsi nakusihi uende ikiwezekana nenda udsm au makumila ipo arusha.Habari za muda huu wanajamvi.
Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu.
Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL.
Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii.
Ahsanteni.
Nashukuru mkuu....naona hapa una madini ya kutosha,naomba nisaidie namba yako ya whatsap kama hutojali.Ni moja ya kozi ambayo ni nzuri lakini pia ina fursa nyingi mbali na kuwa mwalimu na usikatishwe tamaa na mtu kikubwa angalia nn kinafaa binafsi nakusihi uende ikiwezekana nenda udsm au makumila ipo arusha.
Wewe ushalima heka ngapi mpaka sasa mkuu?Achana na kazi ya kufundisha wanaadamu, siku hizi mwalim ni pesa na muda. Acha kusoma nenda kijijini kwenu kata eneo lima