Mchumi wa kati
Member
- Jun 21, 2021
- 32
- 29
Big NO!! Nikutoka ufaransa kupitia Burundi na kuingia Uganda kiongoziKwa lugha nyingine mashuka kutoka china kupitia uganda[emoji23]
Hiyo route kiboko😂😂😂Big NO!! Nikutoka ufaransa kupitia Burundi na kuingia Uganda kiongozi
Hiyo ni sawa na watu wanaosema mitumba ya mbeya inatoka zambia wakati mizigo yote inatoka China kupitia Dar.Kwa lugha nyingine mashuka kutoka china kupitia uganda[emoji23]
Ni kweliHiyo ni sawa na watu wanaosema mitumba ya mbeya inatoka zambia wakati mizigo yote inatoka China kupitia Dar.
Sasa hv mizigo ya Africa nying ni china sema kinachofanya uganda wawe na quality ni kuwa waBongo weng ujanja ujanja mwing tofauti na mataifa mengne. Tanzania ikiwa mizigo quality wanazinunulia mifuko inavalishwa inaenda kuuzwa Posta alaf Grade B inauzwa kama Grade A.