Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya Mashuka kutoka Uganda

Joined
Jun 21, 2021
Posts
32
Reaction score
29
Habari wanabodi,

Nimekuwa nikisikia biashara ya mashuka kutoka nchi jirani ya Uganda.

Kuna mwenye kujua upatikanaji wake, yaani duka, mtaa, bei n.k?
 
Usubiri kidogo wanakuja wanaopajua huko ulipopataja
 
Kwa lugha nyingine mashuka kutoka china kupitia uganda[emoji23]
Hiyo ni sawa na watu wanaosema mitumba ya mbeya inatoka zambia wakati mizigo yote inatoka China kupitia Dar.
Sasa hv mizigo ya Africa nying ni china sema kinachofanya uganda wawe na quality ni kuwa waBongo weng ujanja ujanja mwing tofauti na mataifa mengne. Tanzania ikiwa mizigo quality wanazinunulia mifuko inavalishwa inaenda kuuzwa Posta alaf Grade B inauzwa kama Grade A.
 
Ni kweli
 
Kama mtu anahitaji kununa toka Uganda, anayapataje. Kama kuna mwenye connection au uzoefu ni vizuri kushirikishana.
 
Back
Top Bottom