Vanclassic
Member
- Sep 9, 2024
- 32
- 76
Habari za pilika Na majukum.. Kuna kitu Naomba kufahamu kutoka kwenu wakuu.... Hususan waliosoma chuo cha NIT.. au ambao bado wanasoma..
Nina mdg angu anasoma pale NIT ila hadi leo analalamika hajaingiziwa hela ya boom
Wakat kwa madai yake ilitakiw apewe mwez Huu mwanzon (November).... Ninachotak kujua je ni kweli au dgo anazngua maan nahic hela kapewa ila kafanyia starehe kwasbb kila ikipita cku moja anaomb atumiwe hela ya kula nikiwa nayo huwa nampa
Lengo La kutaka kujua kam hela wamepewa ila ametumia kwa fujo kwahy anadangany kuwa hela bado... Ni kwamba kuna boom lilopita alipewa hela akaimaliza ndani ya wiki akawa hana ata mia huwa najarb kumsihi atumie hela vzur lakin hasikii
Naombeni kwa anaejiua au kwa anaesom apo je boom limetoka au bado...
Nawasilisha