Naomba kufahamishwa kuhusu online bussiness

Naomba kufahamishwa kuhusu online bussiness

Nickson Swai

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
597
Reaction score
549
Wadau habari je kuna mtu mwenye elimu kuhusu business online naomba anisaidie ambayo kwa baadhi ya vijana wameacha kazi kama ya uhasibu jamaa mmoja alisomea uhasibu lakini hataki kuajiriwa bali ameamua kuwekeza kwenye business online wanasema inalipa unaingiza kipato kwa kulipwa profit kila ukianza na kima chochote ahsante n.b naomba tushare sitaki kebehi na matusi j2 njema
 
Cheki hapa, unaweza kujiajiri faster na kufanya kazi popote. Unaandika tu unachoweza fanya na bei yako. Ajiras
 
Back
Top Bottom