Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Wadau habari je kuna mtu mwenye elimu kuhusu business online naomba anisaidie ambayo kwa baadhi ya vijana wameacha kazi kama ya uhasibu jamaa mmoja alisomea uhasibu lakini hataki kuajiriwa bali ameamua kuwekeza kwenye business online wanasema inalipa unaingiza kipato kwa kulipwa profit kila ukianza na kima chochote ahsante n.b naomba tushare sitaki kebehi na matusi j2 njema