Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 549
Ahsante sana kwa io kumbe matapeli sana aiseewahuni sio watu wazuri
Mbona unacheka mdauPlease wait, Your request is being in processing![emoji42][emoji42]
Yeye sina mawasiliano naye ila kaka yake anapiga it anafundisha computer kwenye college aliniambia io inshu sasa sikuonana naye mpaka leoVipi kuhusu feedback kutoka kwa mhasibu.
Ahsante sana man nafurahi mtu akinishauri mtu wa pili unasema kuwa makini sisi tunataka mafanikio haraka haraka kumbe unaumiaSubiri wazoefu wa hii kitu, ila kuwa makini sana.
Iyo ni wanasema investment ipo Marekani.Ila hujafafanua ni online busness ipi uliyokusudia.
Je ulisha wahi kuingia ndani ya website yao na kuona kuna nini?Iyo ni wanasema investment ipo Marekani.
Hapana kaka sijawahiJe ulisha wahi kuingia ndani ya website yao na kuona kuna nini?
Duu!! Hichi kiingrereza kipo kwenye right track.Please wait, Your request is being in processing![emoji42][emoji42]
πππDuu!! Hichi kiingrereza kipo kwenye right track.
Ahsante sanaMkuu piga kazi katika shughuli zako,
Unaweka pesa?Wanasema ni biashara ambayo unaweka pesa afu kuna profit wanakupa ilo makao makuu ni Marekani