Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Rais ana presidential decree ya kumteua YEYOTE kumwakilisha KOKOTE....Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.
Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi.
Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT?
Anapotumwa yeye, Makamu wa Rais anakuwa na udhuru au ni matakwa tu ya Rais wa JMT kumtuma yeyote kuiwakilisha nchi, yaani hata mimi naweza kutumwa kuiwakilisha nchi?
Hili swali nimeuliza nieleweni Tu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Dr.Mwinyi anahitaji uzoefu upi tena?!!🤣🤣Kwani fisiemu wanasema mwinyi ndo mrithi wa mama, basi acha ajipatie uzoefu....
Huyo bure kabisaQassim si yupo
Ni kama amemtuma Kenyatta au!?Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.
Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi.
Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT?
Anapotumwa yeye, Makamu wa Rais anakuwa na udhuru au ni matakwa tu ya Rais wa JMT kumtuma yeyote kuiwakilisha nchi, yaani hata mimi naweza kutumwa kuiwakilisha nchi?
Hili swali nimeuliza nieleweni Tu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Anazo elements zote za udini kuzidi Marais wote waliowahi kutokea Tanzania. Sijawahi kumsikia akisema bwana yesu asifiwe yeye amebuni salama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kukwepa kusema Bwana Yesu asifiwe . Tatizo ni katiba yetu inatufelisha.Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.
Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi.
Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT?
Anapotumwa yeye, Makamu wa Rais anakuwa na udhuru au ni matakwa tu ya Rais wa JMT kumtuma yeyote kuiwakilisha nchi, yaani hata mimi naweza kutumwa kuiwakilisha nchi?
Hili swali nimeuliza nieleweni Tu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Duh,Anazo elements zote za udini kuzidi Marais wote waliowahi kutokea Tanzania. Sijawahi kumsikia akisema bwana yesu asifiwe yeye amebuni salama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kukwepa kusema Bwana Yesu asifiwe . Tatizo ni katiba yetu inatufelisha.
Utumwe nje ya nchi unacheo gani serikalini?Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.
Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi.
Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT?
Anapotumwa yeye, Makamu wa Rais anakuwa na udhuru au ni matakwa tu ya Rais wa JMT kumtuma yeyote kuiwakilisha nchi, yaani hata mimi naweza kutumwa kuiwakilisha nchi?
Hili swali nimeuliza nieleweni Tu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Anaweza kimombo?Qassim si yupo
Muwe mnaacha kuhamasisha na kuchochea maswala ya udini kwa rais wetu kuna tatizo gani hapo kuwasalimia kwa jina la jamhuri kila kitu kwenu ni udini udini tuakisema au asipo sema wewe unapungukiwa niniAnazo elements zote za udini kuzidi Marais wote waliowahi kutokea Tanzania. Sijawahi kumsikia akisema bwana yesu asifiwe yeye amebuni salama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kukwepa kusema Bwana Yesu asifiwe . Tatizo ni katiba yetu inatufelisha.
Kwani ni lazima aseme bwana yesu asifiwe? Saalam aliyobuni ni mujaribu kabisa maana haiegemei upande wowote.Anazo elements zote za udini kuzidi Marais wote waliowahi kutokea Tanzania. Sijawahi kumsikia akisema bwana yesu asifiwe yeye amebuni salama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kukwepa kusema Bwana Yesu asifiwe . Tatizo ni katiba yetu inatufelisha.
Hata Nyere hakuwahi kusema VWAAYESUASUFIWE.Kwani ni lazima aseme bwana yesu asifiwe? Saalam aliyobuni ni mujaribu kabisa maana haiegemei upande wowote.
Kwa Katiba tuliyo nayo anauwezo wakuteua Mtu yoyote kumuwakilishaKama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.