Wewe ndio umefeli tayari. Sasa akisema Bwana Yesu asifiwe sio udini huo?Anazo elements zote za udini kuzidi Marais wote waliowahi kutokea Tanzania. Sijawahi kumsikia akisema bwana yesu asifiwe yeye amebuni salama ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kukwepa kusema Bwana Yesu asifiwe . Tatizo ni katiba yetu inatufelisha.
Si ni Ticha yuleAnaweza kimombo?
Wanahakikisha visiwani wana udhibiti wa mambo yote! Kutesa kwa zamu!Kama kuna mtaalamu wa masuala ya Katiba ya JMT na Itifaki za Nchi ya Tanzania, naomba mwongozo.
Nataka kumuelewa Mama Samia ni mara ya 2 sasa anamtuma Hussein Mwinyi kumuwakilisha Rais wa JMT nje ya nchi.
Je, Rais wa Z'bar ni mtu wa ngapi kiitifaki katika serikali ya JMT?
Anapotumwa yeye, Makamu wa Rais anakuwa na udhuru au ni matakwa tu ya Rais wa JMT kumtuma yeyote kuiwakilisha nchi, yaani hata mimi naweza kutumwa kuiwakilisha nchi?
Hili swali nimeuliza nieleweni Tu. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hii ina mantiki!Kwani fisiemu wanasema mwinyi ndo mrithi wa mama, basi acha ajipatie uzoefu....
Kamtuma wapi? Let him go, there's no big deal. Mpango afanye vitu vingine sio kutumwa tumwa mahaliUsisahau huyo ni Rais, katiba yetu imempa madaraka makubwa sana. Pia ni Mzanzibari.
Kwa mtazamo wangu huenda anaangalia tija na mdhumuni ya mkutano, hiyo inaamua nani ni mtu sahihi kuhudhuria na kuiwakilisha nchi yetu.
Rais wa Zanzibar ni mtanzania.
Yeyote?Rais ana presidential decree ya kumteua YEYOTE kumwakilisha KOKOTE....
#KaziIendelee
Kwaiyo kila ticha anajua kimombo?Si ni Ticha yule
Last week kuna taga ananiekitiaga yeye ni Tiss...akaniambia Samia Suluhu Hassan ni mtoto wa kwanza wa nje wa mzee Hussein Mwinyi
Akazidi kusema pia mtoto wa kwanza wa Samia amezaa na Jk( ni mdada)...naye ashapachikwa kwenye kada za ccm! Nikabak kusema inamaana tunaongozwa na le one famile[emoji12]? Nikabaki kusema tawile mama
Sijui...alinisisitiza balaa..nikasema sijui kama kuna ukweli...*Huyo 'TISS' wako ni bwege kabisa...
Mzee Hussein Mwinyi ndio nani..?!
Kuna ukweli kiasi katika jambo hiloLast week kuna taga ananiekitiaga yeye ni Tiss...akaniambia Samia Suluhu Hassan ni mtoto wa kwanza wa nje wa mzee Hussein Mwinyi
Akazidi kusema pia mtoto wa kwanza wa Samia amezaa na Jk( ni mdada)...naye ashapachikwa kwenye kada za ccm! Nikabak kusema inamaana tunaongozwa na le one famile[emoji12]? Nikabaki kusema tawile mama
Sijui...alinisisitiza balaa..nikasema sijui kama kuna ukweli...
Kumzaa anamzaa mzee baba mwinyi ana 97 sijui...samia yuko kwenye 60'sHakuwezi kuwa na ukweli wowote!
Hussein Mwinyi ndiye yule pale Rais wa Z'bar wa sasa...
Na kwa umri wake Rais Hussein Mwinyi wa Znz hawezi 'kumzaa' Rais Samia Suluhu Hassan wa JMT.
Huyo 'TISS' wa vilabuni usimsikilize tena huyo atakudharau! [emoji23][emoji23]
Duh..hatari
Kumzaa anamzaa mzee baba mwinyi ana 97 sijui...samia yuko kwenye 60's
We naye!Aisee! [emoji23][emoji23][emoji28]
Kumbe unamzungumzia mzee Ally Hassan Mwinyi, rais mstaafu...
Me nilikuwa namzungumzia mzee 'Hussein Mwinyi' [emoji23][emoji23] uliyemtaja kwenye post niliyoku-quote mwanzo; ndo maana nikauliza huyo 'mzee Hussein Mwinyi' ndie nani..?
[emoji23][emoji28]
We naye!
Wewe ni TAGA jinga kuliko yote! Rais anaweza kumtuma mtu yeyote anaeona anafaa kumuwakilisha kwa maslahi mapana ya nchi na ndio maana huwa hata viongozi wastaafu huwa wanawawakilisha marais kwenye shuhuri nyingi nje ya nchi!!!
Hata hao MaRC na MaDC anaowateua, wapo pale kama wawakilishi wake ndio maana anaweza kutengua uteuzi pale anapotaka yeye a' la a' Jiwe alivyokuwa anawatumbua watu hadharani!!! They selve at her pleasure!!!!