Naomba kufahamishwa kuhusu Rais Samia kumtuma Hussein Mwinyi kumwakilisha nje ya nchi

Ndiyo mjuwe kwamba hakuna hii ni Tanganyika inayotawaliwa na Oman empire
 
Kumbe na wewe umeona kuna mambo mengi yanafanyika sasa hivi ambayo ni utata mtupu mfano sasa hivi kila muwekezaji anayetokea ulaya anapelekwa zenji watu wa bara wamezubaa tu hawahoji inamaana muungano sasa hivi umekuwa uhuru wa manyani amken wa tz bara sio kuzubaa huku kuhoji zenji sasa hivi wanatumia fursa ya mtu wao mama
 
Duuuh ....

Udini huo usije ukawa unauleta wewe hapa 🤣🤣

Aisee daah.....

Leo makamu wa Rais Mh.Dr.Mpango alikuwa huko SUA kumwakilisha Rais ....hapo hakuna UDINI isipokuwa safari za nje tu ?!!! 🤣🤣🤣
Tofautisha wewe nje kuna fursa nyingi mama anampa fursa mwinyi mzenji mwenzake jiulize tangu lini ikawa hivyo??!
 
Wala sio udini, ni kibri cha uzanzibari kinamsumbua

Mbona Majaliwa Kassim Majaliwa hamtumii ana mruka!?!
Hapo ilibidi ampe makamu mpango mbona magu alimpa sana yeye ni mbaguzi huyu mama
 
Rais ana presidential decree ya kumteua YEYOTE kumwakilisha KOKOTE....

#KaziIendelee
protocol muhimu ifuatwe kikamilifu.basi Kama ni hivyo asitusahau hata watu wakitaa ,anaweza kututuma hata nje tukawakilisha ,mbona mtaani tupo tunafaa pia ,ni wasomi wazuri na uwezo wa kuji express tunao.
 
Muwe mnaacha kuhamasisha na kuchochea maswala ya udini kwa rais wetu kuna tatizo gani hapo kuwasalimia kwa jina la jamhuri kila kitu kwenu ni udini udini tuakisema au asipo sema wewe unapungukiwa nini
Huna point, angekuwa anatoa salaam ya dini yake na kuacha ya dini nyingine sawa. Mbona mara kadhaa anatoa salamu zote, hata alihudhuria tamasha la dini nyingine.
Nyinyi ndio wadini wenyewe, sasa mnajishtukia.
 
Huyu mama naye..makamu c yupo?
Mimi ndo maana nasema,amemalize muda wake apumzike ,maana tunakoenda tutachanganyana,na kulaumiana .muda si mrefu.nilishasema HSS mahaba ya uzbar yamemjaa Sana,yupo bara lakini roho yake ipo visiwani.hapo Sasa!!!
 
Duuuh katika watu nikikuwa nawaheshimi humu Jf mmojawapo ni wewe mkuu.Yaan hadi kumtuma mtu akawakilishe ni Udini pia! Bado tuna safari ndefu sana.
Hii nchi ilikuwa inaelekea pabaya sana, fikiria kuna wajinga wana amini maombi ya siku tatu yalifuta corona, ndio hawa sasa.
 
Mimi ndo maana nasema,amemalize muda wake apumzike ,maana tunakoenda tutachanganyana,na kulaumiana .muda si mrefu.nilishasema HSS mahaba ya uzbar yamemjaa Sana,yupo bara lakini roho yake ipo visiwani.hapo Sasa!!!
Shida iko wapi, si kama Chato tu.
 
NI ama kwenye protocol wote waliojuu ya Hussein Mwinyi wanaudhuru ama hawaaminiki, ama hawana uwezo katika eneo lilowakilishwa.
 
Simple tu...
URAIA NA MAADILI DARASA LA SITA mada ya kwanza kabisa SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

omba kitabu hicho soma vizuri utaelewa.
 
Bora chato mkuu maana ni bara ,na tuko nao bara,unaweza kwenda hata kwa baiskeli.ss visani je!!?,
Kama vile wewe unavyoona Visiwani mbali, ndio wa Visiwani na sisi wa Kilwa tulivyoona Chato mbali. Na kama umehalalisha Chato, basi hutakiwi hata kuongea maana ni upuuzi.
 
Kama vile wewe unavyoona Visiwani mbali, ndio wa Visiwani na sisi wa Kilwa tulivyoona Chato mbali. Na kama umehalalisha Chato, basi hutakiwi hata kuongea maana ni upuuzi.
wewe ndo ulileta mada ya chato.mm naongelea protocol mama ni Kama anaipa kisogo, utamtumaje Hussein,na makamo wako yupo!? je bunge la JMT likihoji kuhusu lolote la safari hiyo,tutamuita Hussein aje bungeni!? protocol ni muhimu ifuatwe !
 
Hiyo kitu hata mimi inanipa wakati mgumu kuielewa hii salamu mpya, cha ajabu viongozi wa dini wa kikristo Kama wote wameenda Israel yani nobody is saying anything about it.ila alitakiwa ajitahidi tu kusema Bwana Yesu Asifiwe, maana ni salamu Rasmi ya kikristo laah abaki kutusalimia kwa jina la muungano hata hiyo salamaleko asiwe anaitaja kuweka usawa
 
Waha tulieni mtaenda tu, kule yanaenda kuongelewa mambo ya Usalama na Mwinyi ana uzoefu, sasa utampeleka Mpango akatoe macho tu huko

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Sijawahi kumsikia akisema bwana yesu asifiwe
Kwani Yesu huwa anafiwa?

Salamu aliyoleta mama ndio salamu halisi ili kuweka makundi yote pamoja mpaka sisi tusio na dini.

Kwa kauli yako angesema "a salam aleikum", wewe lazima ungeenda kujinyonga tu sio kwa udini ulio nao
 
Wangari maathai Mwambie huyo tiss wako asiwe anakunywa double kick kabla ajatia chochote tumboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…