Naomba kufahamishwa kuhusu tabia hii ya kuku

Jamani asanteni sana kwa mchango wenu ila nimejifunza kua hii ni moja ya tabia ya kuku mwanzo anakua anasuasua ila baadae analalia vizuri tu,maana tarehe 20 july 2017 alitotoa mayai yake yote 11 na hakuna lililoharibika wala aliloacha kutotoa
bahati yake
 
Asante kwa mrejesho tumejifunza.

Angalizo;
Kutumia neti kufugia kuku ni kosa
 
Kwa kuwa Ni mara yake ya Kwanza lazima afanye hivyo kwani hajazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…