titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
bahati yakeJamani asanteni sana kwa mchango wenu ila nimejifunza kua hii ni moja ya tabia ya kuku mwanzo anakua anasuasua ila baadae analalia vizuri tu,maana tarehe 20 july 2017 alitotoa mayai yake yote 11 na hakuna lililoharibika wala aliloacha kutotoa