Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

kalanga1

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
318
Reaction score
432
Habarini za jioni wapendwa,

Mmoja kwa moja bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada.

Naomba mwenye uelewa kuhusu TOYOTA BREVIS yenye cc 2490 aniambie inakulaje mafuta?

Yaani nataka kujua lita moja ya mafuta inaenda km ngapi?

Ahsanteni wapenzi

images.jpg
 
Hii mkuu siyo ya kununua kabisa inakula mafuta sana ikitaidi km 8 lth 1! Hapo haijaanza kuchoka halafu kama mtu wa kuuza mbeleni itakusumbua last ina tatizo la engine kwa dodosa za kijiweni! Nakushauri tafuta gari walau ya "cc 1300-2000! Im stand to be corrected!
 
Ninatumia hio gari mwaka wa 2 sasa......haipitishi mwezi sijakatiza bagamoyo road kulenga arusha....nimenunua ikiwa na km 35000 mpaka sasa iko na km 129000 haijawahi nisumbua zaidi ya mumwaga oil....na njian sijawahi kuwa overtaken na gari ingine.....mafuta binafsi naona ni kawaida tuu
 
Naona wanatutisha Tu. Gari naielewa Sana hiyo
 
Ninatumia hio gari mwaka wa 2 sasa......haipitishi mwezi sijakatiza bagamoyo road kulenga arusha....nimenunua ikiwa na km 35000 mpaka sasa iko na km 129000 haijawahi nisumbua zaidi ya mumwaga oil....na njian sijawahi kuwa overtaken na gari ingine.....mafuta binafsi naona ni kawaida tuu

Kama Mkasi vile ya 2.5.
Ila kama uwezo mdogo, usinunue.
Gari kubwa zina raha yake hasa kwenye masafa.

NB: Gharama zake ni 2 times ya ama carina, corola, spacio(1.5), na ni 4 times ta ist, Vits, Raum, spacios(1.3).
.
 
Ninatumia hio gari mwaka wa 2 sasa......haipitishi mwezi sijakatiza bagamoyo road kulenga arusha....nimenunua ikiwa na km 35000 mpaka sasa iko na km 129000 haijawahi nisumbua zaidi ya mumwaga oil....na njian sijawahi kuwa overtaken na gari ingine.....mafuta binafsi naona ni kawaida tuu
Kwani ukiweka full tank ni bei gani ????
 
Ninatumia hio gari mwaka wa 2 sasa......haipitishi mwezi sijakatiza bagamoyo road kulenga arusha....nimenunua ikiwa na km 35000 mpaka sasa iko na km 129000 haijawahi nisumbua zaidi ya mumwaga oil....na njian sijawahi kuwa overtaken na gari ingine.....mafuta binafsi naona ni kawaida tuu
Mkuu kukimbiza sana si ujiko
 
Hii mkuu siyo ya kununua kabisa inakula mafuta sana ikitaidi km 8 lth 1! Hapo haijaanza kuchoka halafu kama mtu wa kuuza mbeleni itakusumbua last ina tatizo la engine kwa dodosa za kijiweni! Nakushauri tafuta gari walau ya "cc 1300-2000! Im stand to be corrected!
Lita 1/km 8 mbona ni ulaji wa kawaida kabisa huo.

Kama vp mdanganye mwenzio akanunue ka vitz ambako hata power havinaga
 
Kuingia mkenge kivp. Kama kununua nachukua mpya. Na sio used kwa mtu
427703.jpg
Kalanga Brevis 2500cc inabwiya mafuta
mbona kuna gari nzuri tu za cc chini ya 1500 zikupa lita 1 kwa km18?
Brevis ni la kupasua bara na siku hizi kuna limit speed mwisho 50km halifai
km upo mjini unajipanga foleni kwa km 8 lita 1 lazima litakula lita 1 kwa 5km foleni
ndioyangu hayo
 
Back
Top Bottom