Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

Binafsi naipenda sana iyo gari kwa sifa zake zote, lakini jinsi inavyosemwa vibaya mpaka naiogopa! Mafundi wengi wanadai engine zake zinasumbua sana. Tupeane ukweli jamani kwa mnao zitumia ni kweli au wanachemka tu jins ya kuzitengeneza?
, mafuta sio ishu sana mana ulaji wa mafuta some times hutegemea na safari zako tu. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom