Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

Vipi alphard toyota cc2400 ulaji wa mafuta
 
Tafuta inayokula maji,magari yote yametengenezawa yale mafuta ili yaweze kwenda ,sijajua
 
Dada kwa ist ukisema ni ndogo uta ua engine au haliwezi kwenda mbali nakukatalia,binafsi I.s.t nime wahi toka nayo msumbiji mtopweshi hadi arusha na ilikua kipindi cha mvua za masika kama sasa hivi nili tembea siku siku mbili lakini nikipumzika nnjiani hadi dar nikapoaa siku mbili tena natembea kuingia chuga,sikupata breack down yoyote mpaka narudi msumbiji
 
Gari linakunywa mafuta, halinywi supu.
Kunywa mafuta ndio jadi ya gari
 
ni

mekuelewa
km kubwiya na kunywa ni sawa
kalagabaho chaguo ni lako Mama
Kubwia umelitoa wapi we mwali?
Wanaume wanaongelea kunywa mafuta we kigoli unaleta habari za kubwia...
Kwani umesikia ni "unga" huo?
 

Well said...kuna magari mengine unaendesha huku roho inauma maana haupo comfortable kabisa....umaskini ndio inafanya watu wanaweka factor ya mafuta mbele kuliko factors nyingine zote.
 
Boss unahitaji umakini wa hali ya juu zaidi kusafiri na IST ktk High way.
Sio kwamba haiwezi, but ni nyepesi kwa speed kubwa
 
Nimeuza my new premio na naitafuta hiyo gari.... Brevis iko very comfortable ndani,no nzito iko stable hats ukipita kwenye rasta husikii nikama uko kwenye BMW au Benz ,iko fast gari zote huhitaji matunzo brevis hazina tatizo LA engine isipokua mafuta .kuchoka kwa gari kunategemea na matunzo yako tu kuifanyia maintenance kwa wakati that's all.
 
Jamani hebu msaada kwa gari toyota alphard 2400cc .Safari nyingi za dar mby na mby swanga.Naomba kujua fuel consumption yake ya mafuta,uimara wa gari,confortability yake,matatizo yake kwa ujumla kwa wanaoielewa.
Kumbuka nina choice ya Noah na hii gari but nahitaji kuijua gari hii vema kabla ya maamzi yote.
 
Umeniondoa hofu nyingi sana mkuu.Ukweli napenda nipate toyota alphard 2500cc kwa ajili ya masafa marefu na mafupi lakn muda mwingi ninapouliza fuel consumption sijawahi pata mwenye kuielewa vema.But sasa nimepata mwanga mzuri.
 
Boss unahitaji umakini wa hali ya juu zaidi kusafiri na IST ktk High way.
Sio kwamba haiwezi, but ni nyepesi kwa speed kubwa
Sijajua hoja yako inakaa wapi mkuu, nimetoka n Vitz RS Old model (1NZ Engine) kutoka Dar hadi Sumbawanga na kurudi bila ya shida yeyote ile.
Au umakini gani ambao unamaanisha?
 
hamna alïyetaka kukukimbiza mkuu.....
 
Gari linakunywa mafuta, halinywi supu.
Kunywa mafuta ndio jadi ya gari
Yani we jamaa umeniondolea stress zangu zote za leo.....hahaaaaaaaaaaa......gari hainywi supu??!!
 
Tafuta brevis yenye engine ya 1G, japo ni chache san kuzipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…