Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Hii picha imechorwa na genius Da Vinci during medieval era..inasemekana imebeba siri nyingi saana. Siri hizo wachache saana wamepata bahati ya kuzing'amua.

Ikiwemo sura ya yule mwanamke Mona Lisa ilikuwa ni mchanganyiko wa sura kiume na kike sababu jamaa alikuwa shoga hivyo alihisi ana sehemu flani ndani ya mwili wake inayowakilisha mwanamke.
 
vitu nilivyogundua humo kuna ishu kama ya freemason,kuna society inaitwa skull n bones, kuna khits, kuhusu kanisa, kuhusu mnara wa paris kuhusu mstari wa greenwich, kuhusu machiano na olympics kuhusu mungu venus na mambo meeeengi sana na kubwa zaidi ni kwamba ile picha ya monalisa inabsura mbili ikiwamo ya huyo jamaa da vinci, na humo anasema kwamba ktk wale wafuasi wa yesu 12 na pia kuhusu maria magdalena kwamba alikuwa na mahusiano na jesus aah we jaribu kusoma vizuuri hicho kitabu utaelewa tuu.
 
Duuuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…