Asili100
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 240
- 181
Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au?
Wajuzi naombeni msaada
Pia Soma> Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa Mona Lisa na Da Vinci Code