Mkwaju Wa dawa
Member
- Oct 12, 2016
- 20
- 21
Mi pia Minji, na inaonekana kuna mengi ya kusisimua nyuma ya historia ya hii picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sir nimesoma mwanzo mpk mwisho hata mimi nimeshindwa kuelewa kbssasa naona dalili ya kuchanganyikiwa hapa......mh ngoja nikae kwa kutulia
Ukifatilia kwa haraka haraka historia ya hiyo picha ni kuwa huyo mwanamke alikuwa ni mke wa mfanyabiashara maarufu ya silk na alimpa hiyo ruhusa da vinci kumchora.. Alikuwa anaitwa lisa.. Hiyo mona maana yake ni my lady.. Ingawa mpaka sasa sehem nyingi ukifatilia bado hakuna mtu mwenye uhakika zaid na hiyo kuwa ni mke wa huyo mfanyabiashara ndo theory pekee iliyopo.. Uki Google monalisa tu utapata vitu vingi juu yake ila karibu vyoote vina circulate hapo hapo tu..Nataman kujua huyo monnalisa alikuwepo zaman au ni picha ya kufikirika tuu ilichorwa na leonardo da vinci,ma kama monnalisa alikuwepo kweli yeye alikuwa ni nani kwa zama hizo
Monalisa ni binti aliyekuwepo kabisa nchini Italy na alikuwa mzuri kweli na mchangamfu, Baba yake alikuwa akimpenda sana na kupenda kumwona muda wote akiwa mchangamfu.Nataman kujua huyo monnalisa alikuwepo zaman au ni picha ya kufikirika tuu ilichorwa na leonardo da vinci,ma kama monnalisa alikuwepo kweli yeye alikuwa ni nani kwa zama hizo
Tuwekee hapa tukusaidie.Chaaaa!!!
Kumbe picha nyingine zinakuwa na ujumbe ndani yake!!!
Asante sana mkuu kwa kunifumbua macho.
Nakumbuka marehemu babu yangu alinipa picha flani hivi, akasema ndani ya hii picha kuna ujumbe muhimu kuhusu maisha yako ya mbeleni.
Akasema nikiweza kung'amua angalau jumbe 5 tu, basi nitakuwa mwenye maarifa na mambo mengine mengi.
Nilikaa miaka 3 bila kuambulia kitu.
Nasikitika wakati niko chuo Morogoro, huku nyuma nikapewa taarifa kuwa babu yangu amepewa upako wa mwisho, ile nakanyaga Ubungo tu, babu anakata kauli bila kunifumbulia fumbo.
Au ndo hii mikosi inayoniandama?
Je, nikiweza kung'amua jumbe ndani ya picha ile, haya mabalaa yataisha ilhali babu ameshafariki?
Au nikisema niende kwa mnajimu, nitakuwa nimefumbua fumbo lile?
Maana ile picha ninayo mpaka sasa
Msije sema nakufa kesho bureTuwekee hapa tukusaidie.
[emoji23] [emoji23] wonders shall never end!!Msije sema nakufa kesho bure
Akhaaaa!!!
Amna kwa mtazamo wa haraka haraka tu iyo picha inatabiri maisha yako yatafanikiwa sana ukiwa na mimi sasa ushindwe wewe tu[emoji4] [emoji4] [emoji4]Msije sema nakufa kesho bure
Akhaaaa!!!
Nina wasi wasi huyu jamaa ndio atakua amechora mapicha kule VaticanView attachment 425984
Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au?
Wajuzi naombeni msaada
BadoIv the bold hajasimulia tena story nyingine maana naye kabarikiwa kusimulia
Ndo hivo mkuu, hawa jamaa wanatuchagulia vitu vya kujua na kuviamini ambavyo hatutakiwi kujua na kutoviaminiNilichogundua kanisa katoriki lina jua siri nyingi sana za Dunia hii ila wanaficha kwa masilahi yao binafsi.
Pia material alio tumia ni creative, ame mix na mayai ,kiasi ambacho ukiangalia hio picha so special, kwa rangi tu hizi za siku hizi huwezi kuchora picha kama hio, huyo jamaa ni history katika dunia in art.Hii picha imechorwa na genious Da Vinci during medieval era..inasemekana imebeba siri nyingi saana. Siri hizo wachache saana wamepata bahati ya kuzing'amua.
Asante sana mkuuMonalisa ni binti aliyekuwepo kabisa nchini Italy na alikuwa mzuri kweli na mchangamfu, Baba yake alikuwa akimpenda sana na kupenda kumwona muda wote akiwa mchangamfu.
Jina lake ni "Lisa" neno "Mona Lisa" inamaanisha "My lady Lisa"
Pia Monalisa inamaanisha "Mwanamke mchangamfu" kwa kiitaliano.
Ukigoogle utayaona yote hayo.
Nimefatilia mwanzo mpk mwisho nimegundua mambo sana ingawa kuna majibu mengi ila kiasi nimeelewa kidogoUkifatilia kwa haraka haraka historia ya hiyo picha ni kuwa huyo mwanamke alikuwa ni mke wa mfanyabiashara maarufu ya silk na alimpa hiyo ruhusa da vinci kumchora.. Alikuwa anaitwa lisa.. Hiyo mona maana yake ni my lady.. Ingawa mpaka sasa sehem nyingi ukifatilia bado hakuna mtu mwenye uhakika zaid na hiyo kuwa ni mke wa huyo mfanyabiashara ndo theory pekee iliyopo.. Uki Google monalisa tu utapata vitu vingi juu yake ila karibu vyoote vina circulate hapo hapo tu..
Heee wanasem yesu alikufa akiwa na miaka 33, sasa Huyo yohane alimzaa lini mpka awe Mtu mzima wafanane hadi yuda achanganyikiwe kumuoneshea????[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]Uko sahihi. Yohana katika biblia ndo alikua mdogo kabisa katika mitume wake na ndo wa mwisho kufa. Biblia inaposema mwanafunzi aliye mpenda Yesu alikuwa ndo huyo. Si tu kuwa yesu alimpenda bali pia walifanana sana kiasi hata Yuda alitumia ishara ya busu ili aakari wasilamate asiye. Huyo ndo Yohana ambaue Yesu alimzaa na Magdaleni. Narudia siyo mimi bali davinci code!