Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Hahahahha...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahha...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante mkuu.[emoji2] [emoji2] [emoji2] teh teh teh teh teh
Haya bwana.....
Nimeghairi kupita nitawapa somo husika.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] teh teh teh tehAsante mkuu.
Itakuwa umetisaidia sana akina 'sisi wa hapahapa'
Afadhali.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] teh teh teh teh
Haya hamna shida mkuu.
Nitatekeleza wajibu.
Cleopatra aliishi zamani sana kabla kabisa ya Mona LisaAiseee.
Dah!!!
Je, Monalisa na Cleopatra nani alikuwa maarufu zaidi?
Na nani alizaliwa kabla ya mwenzake?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Afadhali.
Unajua unapopata maarifa mapya, ni vema kuwasaidia wale wasio na uelewa kuhusu maarifa hayo ili nasi 'ungumbaru' ututoke...teh teh teh
Shukrani sana.
Aisee...wazidi kunifumbua macho.Cleopatra aliishi zamani sana kabla kabisa ya Mona Lisa
Umaarufu wa Cleopatra ni mkubwa zaidi duniani kwani habari zake ziko wazi maisha yake mpaka kifo chake ila za huyu Mona Lisa zilikuwa na usiri sana na rumuors zilizoongezwa pia.
Hahahha.....nakusubiri mkuu.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Teh teh teh
Eti ungumbaru....
Teh teh teh
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
hahahaaa.... umemuuliza mtu anaeamka na kukesha ktk uzi huu... umeokotwa. Unampa sifa za bure kumbe ana dinya ktk hii thread,.. kalaghabhaoo..Na picja orijino ya Monalisa ni ipi ?
Nataka kuwafaham hao night templar ni kina nan na kwanini waliuwawa?? Ntapenda kufahamu tu
Kuna mtu nimemuonesha hiyo picha nikamuuliza unaijua?akasema hapana ,,nikamuambia hii picha unaona nini ? Akasema naona kama anatabasamu halaf ananuna,halaf kama mwanaume upande mmoja hivi ,,,halaf akaona kwenye mkono kuelekea begani akasema kuna sura ya mtu mwingine hapo
Nikasema na humu mmesema hivyoo kuna watu wanajua kuona aisee ,,akasema kuna vifaa ukitumia kuangalia hii picha kuna vitu vingi utaona
Pitia huu uzi https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/529985/Afadhali.
Unajua unapopata maarifa mapya, ni vema kuwasaidia wale wasio na uelewa kuhusu maarifa hayo ili nasi 'ungumbaru' ututoke...teh teh teh
Shukrani sana.
Asante sana na ubarikiwe mkuu
Hahaha...Madam B, sio picha hii tu ya Mona Lisa iliyo na secrete codes duniani ingawa ndiyo yenye codes nyingi na ndio iliyokuwa ya kwanza kufichuliwa siri zake.Afadhali.
Unajua unapopata maarifa mapya, ni vema kuwasaidia wale wasio na uelewa kuhusu maarifa hayo ili nasi 'ungumbaru' ututoke...teh teh teh
Shukrani sana.
Hilo naomba ajibu Otorong'ong'o.Aisee...wazidi kunifumbua macho.
Ila kuna swali huwa linanitatiza sijui utanijibu au...
Wanasema miji ya Sodom na Gomorrah iliteketezwa kutokana na muingiliano wa kinyume na maumbile kati ya wanaume na wanaume.
Ila kuna mada ilikuja nadhani juzi, ilikuwa inasema kuwa, wanawake wa Sodom na Gomorrah walikuwa wanaingiliwa kinyume na wanaume zao, ila mara tu wanaune walipoanza nao kuingiliana wenyewe kwa wenyewe, ndipo Mungu akashusha gharika la moto.
Swali,
Hii ina maana kwamba
1. Wanawake tumeruhusiwa kuingiliwa kinyume na maumbile?
2. Wanaume ni mwiko kuingiliana?
3. Mbona moto haukushushwa kabla wanaune hawajaanza kuingiliana?
Otorong'ong'o nawe ukinisaidia hapa si mbaya pamoja nawe Azarel
Kwa hiyo unataka watu wajiue sioNilihadithiwa miaka mingi kidogo, wanasema hyo picha inareflect any kind of feelings yan unahotaka kuona utakiona, ukitaka kuona sura ya huzun ukimuangalia Kwa makin utaona huzun, furaha utaona sura ya furaha, uchovu etc yan chochote.
Nlijaribu kufanya hvyo nkaona ni kweli baada ya kuiangalia kwa kina, hebu na ww jarbu unipe mrejesho
Iv the bold hajasimulia tena story nyingine maana naye kabarikiwa kusimuliaMambo kama haya ndipo napomkumbuka THE BOLD
Hizo kope zimetoka wapiHii ya Mona Lisa aliimalizia mwaka 1517, ila hakuweka kope katika macho yake.
Mkuu tusiwaamini sana hawa ngozi nyeupe wakati mwingine wanapambiza visivyo pambizwa.Ukisema imechorwa na msanii Leonardo Da Vinci, unakua haujamtendea haki. Unaweza ukamuita polymath Leonardo Da Vinci maana ni mmoja wa watu extraordinary ambao wamewai kutokea duniani. Jamaa alikua ni architect, engineer, doctor, na mtu mbunifu zaidi kutokea duniani.
Nataman kujua huyo monnalisa alikuwepo zaman au ni picha ya kufikirika tuu ilichorwa na leonardo da vinci,ma kama monnalisa alikuwepo kweli yeye alikuwa ni nani kwa zama hizoHii ni picha ya kuchora inaitwa Gioconda pia inajulikana kama Monna Lisa na inasemekana ni moja ya kazi za kuchora ya muda wote iliyowahi kuchorwa na Leonardo da Vinci,hiyo picha imehifadhiwa kwenye Museum(nyumba ya makumbusho inaitwa Louvre huko Paris mji mkuu wa ufaransa.picha yenyewe inasemekana ina tafsiri nyingi sana ukianza na tabasamu la huyo aliyechorwa yaani Gioconda.alikuwa ni Leonardo da Vinci mwenyewe aliyeipeleka ufaransa kazi yake hiyo ya sanaa inawezekana ilinunuliwa,tunazungumzia mambo ya miaka 1625 huko ehhh.na ilishawahi kuibiwa mara nyingi sana mara ya kwanza kabisaa kuubiwa picha hiyo ni mwaka 1911 kabla ya siku ya kuifunga nyumba ya makumbusho.Pia zipo copy zake nyingi tu kama ukienda Geneva uswiss na pale hispania Madrid kwenye ile nyumba ya sanaa inaitwa Prado.ni kifupi tu japo mimi sijasomea Art history mambo hayo ukienda Firenze mkoa wa toscana ndiyo wenyewe.nitaifuatilia