Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Nataman kujua huyo monnalisa alikuwepo zaman au ni picha ya kufikirika tuu ilichorwa na leonardo da vinci,ma kama monnalisa alikuwepo kweli yeye alikuwa ni nani kwa zama hizo
Ukifatilia kwa haraka haraka historia ya hiyo picha ni kuwa huyo mwanamke alikuwa ni mke wa mfanyabiashara maarufu ya silk na alimpa hiyo ruhusa da vinci kumchora.. Alikuwa anaitwa lisa.. Hiyo mona maana yake ni my lady.. Ingawa mpaka sasa sehem nyingi ukifatilia bado hakuna mtu mwenye uhakika zaid na hiyo kuwa ni mke wa huyo mfanyabiashara ndo theory pekee iliyopo.. Uki Google monalisa tu utapata vitu vingi juu yake ila karibu vyoote vina circulate hapo hapo tu..
 
Nataman kujua huyo monnalisa alikuwepo zaman au ni picha ya kufikirika tuu ilichorwa na leonardo da vinci,ma kama monnalisa alikuwepo kweli yeye alikuwa ni nani kwa zama hizo
Monalisa ni binti aliyekuwepo kabisa nchini Italy na alikuwa mzuri kweli na mchangamfu, Baba yake alikuwa akimpenda sana na kupenda kumwona muda wote akiwa mchangamfu.

Jina lake ni "Lisa" neno "Mona Lisa" inamaanisha "My lady Lisa"

Pia Monalisa inamaanisha "Mwanamke mchangamfu" kwa kiitaliano.

Ukigoogle utayaona yote hayo.
 
Hiki ni kipande kifupi kutoka wikipedia;

The title of the painting, which is known in English as Mona Lisa, comes from a description by Renaissance art historian Giorgio Vasari, who wrote "Leonardo undertook to paint, for Francesco del Giocondo, the portrait of Mona Lisa, his wife."[5][6] Mona in Italian is a polite form of address originating as ma donna – similar to Ma’am, Madam, or my lady in English. This became madonna, and its contraction mona. The title of the painting, though traditionally spelled "Mona" (as used by Vasari[5]), is also commonly spelled in modern Italian as Monna Lisa ("mona" being a vulgarity in some Italian dialects) but this is rare in English.[citation needed]
 
Tuwekee hapa tukusaidie.
 
Nina wasi wasi huyu jamaa ndio atakua amechora mapicha kule Vatican
 
Hizi Conspiracy theories zinaweza kufanya ukadata bure , the less you know the better
 
Hii picha imechorwa na genious Da Vinci during medieval era..inasemekana imebeba siri nyingi saana. Siri hizo wachache saana wamepata bahati ya kuzing'amua.
Pia material alio tumia ni creative, ame mix na mayai ,kiasi ambacho ukiangalia hio picha so special, kwa rangi tu hizi za siku hizi huwezi kuchora picha kama hio, huyo jamaa ni history katika dunia in art.
 
Asante sana mkuu
 
Nimefatilia mwanzo mpk mwisho nimegundua mambo sana ingawa kuna majibu mengi ila kiasi nimeelewa kidogo
 
Heee wanasem yesu alikufa akiwa na miaka 33, sasa Huyo yohane alimzaa lini mpka awe Mtu mzima wafanane hadi yuda achanganyikiwe kumuoneshea????[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…