Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Huu mchoro ni wa ajabu sana. Ukiuzungusha katika angle zote macho ya huyu mwanamama yanaonekana yakikutazama. Ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Pics mingi tuu joh zinakuwaga hivyoo,so hakuna jipya...enewei, ukute hii picha haina maana yoyote na mchoraji alijichorea zake tuu just for fun (maybe alikuwa ni mama la mama kwa mchizi Da vincci (👈kidding 😁)so bibie kauteka moyo wa mchizi msela akwehuka na mahaba akajichorea) wajuaji wakaamua kuipa promo...fikra zangu lakini...🚶🚶🚶
 
Umemaliza kila kitu.
Tunaumiza vichwa kutafuta maana kwenye jambo lisilo na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kaka alikua anamchora mkewe"
-Shemeji wa Monalisa




Napenda kujifukiza
Mkuu unaweza kutoa uthibitisho unao dhihilisha kwa uwazi kabisa kuwa malengo ya mchoro huo yalikuwa ni kama ulivyozungumzia?

kama hujaelewa soma comments.
 
nimegundua haya kwenye post yako...


Munamo
Tafasiri
Marengo


sidhani Kuna haja ya kutuma sample ,
 
Hata mimi kuna kipindi nilikuwa nachora macho ya hivyo enzi zangu.

Hilo ni jambo la kawaida kwa wachoraji mkuu sio ajabu.

Weka viini vya macho katikati unapochora mtu hapo utaona kila uendako inakuangalia.

Sijui kuna maajabu gani hapo wakuu,naona vitu vinasifiwa sana nadhani wanaosifia wengi sio wachoraji..
 
Hii pic ukitaka kuona yaliyomo yamo izoom upande wa chini alafu utaona vilivyo chorwamo au ni macho yangu yanaona tofauti?
 
Hii pic ukitaka kuona yaliyomo yamo izoom upande wa chini alafu utaona vilivyo chorwamo au ni macho yangu yanaona tofauti?
Ukibahatika kuizoom ukaona vilivyo chorwa kwenye hiyo pic ukijaribu kuirudia kuizoom tena haikubali kuzoomika
 
Hiyo pic ukiangalia kawaida ni mwanamke anaonekana ila ukiizoom kuna wale viumbe na asilimia kubwa wa picha hiyo ni hao viumbe pia kuna ngazi utaziona viumbe hao wana zipanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…