Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Huu mchoro ni wa ajabu sana. Ukiuzungusha katika angle zote macho ya huyu mwanamama yanaonekana yakikutazama. Ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Pics mingi tuu joh zinakuwaga hivyoo,so hakuna jipya...enewei, ukute hii picha haina maana yoyote na mchoraji alijichorea zake tuu just for fun (maybe alikuwa ni mama la mama kwa mchizi Da vincci (👈kidding 😁)so bibie kauteka moyo wa mchizi msela akwehuka na mahaba akajichorea) wajuaji wakaamua kuipa promo...fikra zangu lakini...🚶🚶🚶
 
Pics mingi tuu joh zinakuwaga hivyoo,so hakuna jipya...enewei, ukute hii picha haina maana yoyote na mchoraji alijichorea zake tuu jst for fun(maybe alikuwa ni mama la mama kwa mchizi Da vincci ([emoji118]kidding [emoji16])so bibie kauteka moyo wa mchizi msela akwehuka na mahaba akajichorea) wajuaji wakaamua kuipa promo...fikra zangu lkn...[emoji124][emoji124][emoji124]
Umemaliza kila kitu.
Tunaumiza vichwa kutafuta maana kwenye jambo lisilo na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kaka alikua anamchora mkewe"
-Shemeji wa Monalisa




Napenda kujifukiza
Mkuu unaweza kutoa uthibitisho unao dhihilisha kwa uwazi kabisa kuwa malengo ya mchoro huo yalikuwa ni kama ulivyozungumzia?

kama hujaelewa soma comments.
 
nimegundua haya kwenye post yako...


Munamo
Tafasiri
Marengo


sidhani Kuna haja ya kutuma sample ,
 
Hata mimi kuna kipindi nilikuwa nachora macho ya hivyo enzi zangu.

Hilo ni jambo la kawaida kwa wachoraji mkuu sio ajabu.

Weka viini vya macho katikati unapochora mtu hapo utaona kila uendako inakuangalia.

Sijui kuna maajabu gani hapo wakuu,naona vitu vinasifiwa sana nadhani wanaosifia wengi sio wachoraji..
 
Habari ya muda huu wanajanvi!

Rejea mada inavyojieleza hapo juu,
Mchoro wa Monalisa ni moja kati ya michoro mingi duniani ulioweza kuchorwa na mwanasayansi na mchoraji Leonardo da Vinci mnamo karine ya kumi na sita(16).

Mchoro wa Monalisa ulianza kujipatia umaarufu baada ya kuibiwa mwaka 1911 kutoka katika makumbusho ya Louvre, mjini Paris Ufaransa.

Baada ya kuibiwa kwa mchoro wa Monalisa watu wengi mashuhuri katika sanaa walianza kutunga nyimbo na mashairi yaliyohusiana na upotevu wa mchoro wa Monalisa. Jambo lililopelekea kukua kwa umaarufu wa Monalisa.

Lakini ukweli ni kuwa mchoro wa Monalisa umepata umaarufu kwa "kutokua na maana yoyote"


MAONI YANGU JUU YA

PICHA YA MONALISA:

1. Mchoro wa Monalisa hautoi tafsiri wala maana yoyote, hivyo mchoro huo kubaki kuwa fumbo.

2. Mchoro wa Monalisa hauna maelezo wala maandishi yoyote yanayoweze kuonesha maana na nini hasa malengo ya mchoro huo, hivyo kubaki kuwa fumbo.

View attachment 1438827
Hii pic ukitaka kuona yaliyomo yamo izoom upande wa chini alafu utaona vilivyo chorwamo au ni macho yangu yanaona tofauti?
 
Hii pic ukitaka kuona yaliyomo yamo izoom upande wa chini alafu utaona vilivyo chorwamo au ni macho yangu yanaona tofauti?
Ukibahatika kuizoom ukaona vilivyo chorwa kwenye hiyo pic ukijaribu kuirudia kuizoom tena haikubali kuzoomika
 
View attachment 425984

Picha hii imechorwa na msanii Leonardo da Vinci, hilo tu ndilo nijualo. Lakini nasikia kuna mengi nyuma ya hii picha, ujumbe uliofichika, umaarufu wake hadi leo ni nini haswa?? Ilikua ngumu sana kuichora au?

Wajuzi naombeni msaada

Pia Soma> Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa Mona Lisa na Da Vinci Code
Hiyo pic ukiangalia kawaida ni mwanamke anaonekana ila ukiizoom kuna wale viumbe na asilimia kubwa wa picha hiyo ni hao viumbe pia kuna ngazi utaziona viumbe hao wana zipanda
 
Back
Top Bottom