Ricochet
Senior Member
- Mar 14, 2020
- 122
- 422
Mbona hata picha ya ukutani nikiitazama kwa angle yoyote ile naona macho yananiangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mchoro ni wa ajabu sana. Ukiuzungusha katika angle zote macho ya huyu mwanamama yanaonekana yakikutazama. Ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app