Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

mmh makubwa haya........mbona mambo mia kichele
 
Ukisema imechorwa na msanii Leonardo Da Vinci, unakua haujamtendea haki. Unaweza ukamuita polymath Leonardo Da Vinci maana ni mmoja wa watu extraordinary ambao wamewai kutokea duniani. Jamaa alikua ni architect, engineer, doctor, na mtu mbunifu zaidi kutokea duniani.
 
Inaitwa Gioconda au ukipenda monalisa ni kazi ya Leonardo da vinci mtaalam wa kuchora kutoka Firenze ipo pale ufaransa katika nyumba ya sanaa ya Louvre sijawahi kwenda paris au kuisoma historia ya Leonardo da vinci ila nilipata bahati mwaka jana kwenda Firenze ila nitaisaka historia yake maana hii picha kwa wale wachoraji ina tafsiri nyingi sana hata ile nyengine nayo wataliani wanaiita ultima chena au kwa kiswahili itakuwa chakula cha mwisho kile cha yesu na wanafunzi wake pia ina maana nitaisaka kwa kweli niisome
 
Kwanza tabasamu lake hubadilika, yaani ukimwangalia straight anatabasamu na ukimwangalia kwa upande kanuna.
Hilo tabasamu limewachanganya watu wengi enzi hizo na mmoja alijitupa kwenye daraja na mwingine aliiangalia na kusema nimechoka kuliona hili tabasamu na kujipiga risasi ya kichwa.

Kwa kweli maajabu mengine siyajui zaidi ya kope zake
 
Umeanza vizuri nikadhani utashusha havy nondo kumbe holaa
- mshana jr Embu njoo sema hapa
 
Hakuna tofauti sana na ile movie ya 'Da Vinci Code'.
 
Nitakupa usijali mkuu,mambo yote ninayo kwenye pc,hapa nipo na simu,halafu sipendi kuchat chat na simu mabarabarani,naona kama ni ushamba flani,usijali..consider it done mkuu!
I am a man of my word...
Nasubiri ujio wako naamini utafanikisha.....
 
Nitakupa usijali mkuu,mambo yote ninayo kwenye pc,hapa nipo na simu,halafu sipendi kuchat chat na simu mabarabarani,naona kama ni ushamba flani,usijali..consider it done mkuu!
I am a man of my word...
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Nilihadithiwa miaka mingi kidogo, wanasema hyo picha inareflect any kind of feelings yan unahotaka kuona utakiona, ukitaka kuona sura ya huzun ukimuangalia Kwa makin utaona huzun, furaha utaona sura ya furaha, uchovu etc yan chochote.

Nlijaribu kufanya hvyo nkaona ni kweli baada ya kuiangalia kwa kina, hebu na ww jarbu unipe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…