Mazungu yana njia nyingi sana ya kutuburuza amini husiamini, na zote naziona nikila bangi.
Yanatuburuza kiuchumi, kifikra, magonjwa, kielimu, mavazi mpaka kwenye tendo la ndoa.
Hivi lini tutajielewa Wafrika?
Kwa mfano hiyo picha ya Monalisa, Mtanzania inakusaidia nini?
Kwa jinsi mnavyo ihelezea, hamna tofauti na muembe ulio fananishwa na baba wa Taifa.
Ni time ya kufanya ubunifu wetu, kwa sababu mazingira yanaturuhusu tutengeneze History mpya.
Mazungu sio majitu mazuri kwetu hata kidogo, ntawapa mfano mmoja.
Mazungu yanatupa mikopo Afrika, kisha yanaleta na ushoga.
Mfano yakikupa milioni kumi mkopo, ukiizinisha ushoga, yatauza vilainishi vya milion hamsini.
Yataleta madawa kwa waathirika wa ushoga nakuuza milion hamsini.
Yatauza vifaa vya kufanyia vipimo milioni hamsini.
Kisha watatoa msaada wa pampas bure kwa walio alibikiwa malinda ya min kabaang.
Huo ni mfano wa milioni kumi umezaa milion mia na hamsini kupitia ushoga tu.
Ni time ya kuachana kuburuzwa Kifikra.
Huo mwaka Elfu moja mia sita ulikuwepo? Babu yako alikuwepo? Mzaa baba yako alikuwepo? Mzaa babu yako yule alikuwepo?
Achana na vitu usivyo vijua hususani vya Mataifa hayo, kwa sababu ndio yanatufunga kifikra.
Tuwe na ubunifu wa mazingira yetu na tupende vya kwetu.
Kuna picha nzuri Tanzania kama ya Mwl Nyerere?
Nafikiri hii mada ingekuwa ya kuwapa mwelekeo wachoraji wetu ideas kuongeza aina za ubunifu kwa watu Mashuhuli wa Taifa ili na Afrika kwa ujumla.
Au tukubali kuwa watumwa kwa kila kitu mpaka kifikra?
Ni haki katika kila Watanzania wanne mmoja kibuyu.