Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Tusimuliee basi kirefuSiri iliyojificha ni kuwa Yesu Kristo alikuwa na mke na alizaa nae mtoto na uzao wake umetawala kama merovingian kings in france. Kanisa katoliki lilificha ukweli huo na kuwa maria magdalene ndo hasa aliyekuwa mke wa Yesu. Ikumbukwe kuwa maria magdalene siyo maria mama wa Yesu. Maria huyo huyo ndiye aliyekuwako chini ya mslaba na Yesu alipo sema mama tazama mwanao na mwana tazama mama yako alikuwa ana mkabidhi maria magdalene rasmi kwa mwanae. Picha hiyo ilienda sanjari na piicha ya last supper ambapo aliyekaa karibu na yesu hakuwa mtume bali maria magdalene. Inasemekana maktaba ya vatican imeficha ukweli huo. Hofu ni kwamba ukweli huo ukiwekwa wazi ukristo u shakani. Siyo mimi bali "da vinci code"