Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Mkuu peterchoka, Yesu wa Nazareti alikuwa na wanafunzi 12, aliyekuwa karibu naye upande wa kulia ni Tomaso (Thomas) na kwa upande mwingine huyo wanayesema alikuwa mwanamke ni Yohana (John)

Na hao wengine waliobaki ni Petro anafuata baada Yohana thn Yuda....kuendelea, wa mwisho kabisa ni Batholomayo.

Sio kwamba napinga kwsbb hata mimi sikuwepo, ila hii issue ilishajadiliwa sanaa Europe na muafaka ulipatikana kbs kwa mwandishi mwingine maarufu wa Italy kama nilivyokuambia.

Kuna kitabu nitakiupload na utakielewa vizuri, ila ktk mlo wa mwisho wa Yesu na wanafunzi wake jioni ile hakukuwa na Mwanamke miongoni mwao.

Na hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa Yesu aliwahi kuwa na mwanamke yeyote na kupata mtoto mpaka siku ya mwisho wake kuishi hapa duniani.

Atheists, devil worshippers na waarabu wa mediteranian ndio walianzisha hizi rumuors ili kuua nguvu imani ya kikristo.

01ff99106c488c623d9357ea6595aa9b.jpg
 
Kwanza tabasamu lake hubadilika, yaani ukimwangalia straight anatabasamu na ukimwangalia kwa upande kanuna.
Hilo tabasamu limewachanganya watu wengi enzi hizo na mmoja alijitupa kwenye daraja na mwingine aliiangalia na kusema nimechoka kuliona hili tabasamu na kujipiga risasi ya kichwa.

Kwa kweli maajabu mengine siyajui zaidi ya kope zake
Monalisa hakuwa na kope huo utafiti ulifanyika kwa muda mrefu mpaka ikaja kugundulika katika mchoro ule wa kwanza sio wa pili aliyourudia
 
Monalisa hakuwa na kope huo utafiti ulifanyika kwa muda mrefu mpaka ikaja kugundulika katika mchoro ule wa kwanza sio wa pili aliyourudia
Nalijua hilo kuwa hakuwekewa kope mpaka baada ya miaka ni kweli labda uandishi tu,
Lakini nilikuwa na maana hiyo
 
Mona Lisa (pia huitwa La Gioconda ambayo kwa Kiitalia ina maana ya mwanamke mchangamfu) ni mchoro maarufu wa mwanzoni mwa karne ya 16, kazi ya na mwanasayansi na mchoraji Leonardo da Vinci.

Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri zaidi duniani kote. Kwa sasa mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesho (makumbusho) la mjini Paris (Ufaransa) maarufu kama Louvre.

LABDA TUMSOME MCHORAJI LEONARDO DA VINCI
220px-Possible_Self-Portrait_of_Leonardo_da_Vinci.jpg

Leonardo da Vinci alivyojichora
Leonardo Da Vinci (Vinci, Toscana, Italia, 15 Aprili 1452Amboise, Ufaransa, 2 Mei 1519) alikuwa mtu mwenye vipajivingivingi[1] kutoka nchini Italia.

Kifupi, alikuwa mwanahisabati, mhandisi, mwanasayansi, mgunduzi, mwanaanatomi, mchoraji, mchongaji, msanifu majengo, mwanabotania, mwanamuziki na mwandishi.

Ndiye mwakilishi bora wa tapo la Renaissance.

Leonardo alikuwa mdadisi wa kila kitu asilia. Alitaka kujua kila kitu kinavyofanya kazi. Alikuwa hodari sana katika kusoma, kuunda na kutengeneza vitu vya aina mbalimbali tena vya kupendeza.[2]

Mwanahistoria wa sanaa Helen Gardner alisema hakuna mtu aliyewahi kuwa kama yeye kwa sababu alikuwa na shauku na vitu vingi sana: "...Akili yake na utu wake vinaonekana kuwa zaidi ya mtu, ni mtu wa ajabu na tofauti".

Leonardo siku zote alikuwa akifiria kugundua mambo mapya. Vitu vingi alivyogundua havikuwahi kufanywa. Hata hivyo, tunajua fikra zake, kwa sababu aliweka kwenye vijitabu na kuandika na kuvichora mara kwa mara.

Baadhi ya nadharia alizofikiria ni pamoja na helikopta, kifaru, baiskeli, kikokotoo, roboti na vifaa vinavyogeuza nishati ya juakuwa umeme.

Leonardo aliweza kufanya vitu vya aina nyingi vya kijanja, lakini alikuwa maarufu sana kama mchoraji. Watu wengi hufikiria kwamba Leonardo alikuwa mmoja kati ya wachoraji bora wa historia yote. Amefanya michoro mingi sana. Miongoni mwa picha zake, mbili zilizo maarufu zaidi duniani ni Mona Lisa na Karamu ya mwisho.

Mchoro mwingine unaojulikana sana ni Vitruvian Man. Unajulikana sana hata Homer Simpson na Garfield ambazo zilichorwa kwa mraba na mzunguko ili kuonekana kama mchoro.
Leonardo alizaliwa tarehe 15 Aprili 1452, mkoani Toscana, katika mji mdogo wa kilimani wa Vinci, katika mabonde ya Mto Arno, karibu na Florence nchini Italia.

Babu yake, Ser Antonio, anajivunia kwa kuweka kumbukumbu ya maelezo. Wazazi wa Leonardo walikuwa hawajaoana. Baba yake alikuwa mwanasheria, Messer Piero Fruosino di Antonio da Vinci.[3][4] Mama yake, Caterina, alikuwa mhudumu. Yawezekana alikuwa mtumwa kutoka Mashariki ya Kati.[5][6] Jina kamili la Leonardo lilikuwa "Leonardo di ser Piero da Vinci", ambalo lina manaa ya "Leonardo, mtoto wa Bwana Piero kutoka Vinci".

Leonardo alitumia miaka yake mitano ya awali akiishi katika nyumba ya shambani na mama yake. Halafu akaja kuishi Vinci na baba yake, mke wa baba yake aliyeitwa Albiera, mabibi/mababu zake na wajomba zake, Francesco.

Wakati Leonardo ameshakua, aliandika vitu viwili tu kuhusu maisha yake ya utotoni. Alikumbuka kwamba alivyokuwa amelala kwenye kitanda chake cha watoto nje ya nyumba yao ndege mkubwa alikuwa akipaa na kumzungukazunguka juu yake. Mikia yake ikawa inamfutafuta sura yake.[7] Kumbukumbu nyingine muhimu ya Leonardo ilikuwa vipi aligundua pango milimani wakati anapeleleza. Alikuwa na hofu kubwa sana huenda kukawa na kiumbe kikubwa cha ajabu kimejificha mle ndani ya pango. Lakini pia alikuwa na hamu na shauku ya kujua kilichopo mle ndani.

Giorgio Vasari aliandika kuhusu maisha ya Leonardo kwa ufupi baada ya kifo chake. Ameelezea hadithi za kuvutia kibao kuhusu utundu aliokuwa nao Leonardo. Anasema kwamba Leonardo alichora bamba la taarifa la mbao-mzunguko likiwa na picha ya mijoka inayotema moto. Messer Piero alichukua michoro ya mwanawe hadi Florence na kuiuza kwa wauzaji wa bidhaa za kisanaa
Leonardo alianza kuchora tangu yungali bado kijana. Alifunzwa usanii na mchongaji na mchoraji Verrocchio.

Sehemu kubwa ya maisha yake alimtumikia tajiri mmoja maarufu wa Italia.

Mwaka 1516 Leonardo alikwenda Amboise, Ufaransa, baada ya kupata mwaliko kutoka kwa mfalme Fransisko I. Kati ya mizigo aliyosafiri nayo ulikuwemo mchoro maarufu wa Monalisa.

Leonardo aliishi mjini Amboise, katika nyumba yake nzuri aliyopewa na Mfalme huyo wa Ufaransa, miaka yake ya mwisho, toka mwaka huo mpaka mwaka 1519.

Afya yake haikuwa nzuri kwa sababu alipatwa na ugonjwa wa kiharusi toka mwaka 1517, lakini taarifa za ugonjwa wake zikatolewa wiki chache kabla ya kifo chake.
Alifariki huko Amboise tarehe 2 Mei 1519 akiwa na umri wa miaka 67, akazikwa St. Hubert.
Mkuu kuna nyama umenisahau da vingi hakuwa kumalizia picha zake zote alizowai kizichora na kingine hakuwai kwenda shule
 
Sasa mkuu ujue hizi picha zilikuja kuchorwa na watu mbalimbali ambao si Leonardo da Vinci.

Ukitaka kuamini hebu taja majina ya wanafunzi wa Yesu kisha wahesabu utagundua anabaki mmoja ambaye ni Yohana kulingana utafiti mbalimbali na pia mchoro wa kwanza kabisa.

Sasa watu wamembadilisha Yohana na kumchora Mwanamke.
 
Siri mojawapo ni kwamba mchiraji alikuwa anahisiwa kuwa homosexual au?
Hiyo mbona ilikuwa public mpaka wakamshtaki lakini hawakuwa na ushahidi mawakili mjaribu wakamkuta yuko safi hapo ndipo alipoanza chupuchupu yake sema jamaa alikuwa na maisha ya siri sana hata watu wakaribu walishindwa kumuelewa
 
Mkuu peterchoka, Yesu wa Nazareti alikuwa na wanafunzi 12, aliyekuwa karibu naye upande wa kulia ni Tomaso (Thomas) na kwa upande mwingine huyo wanayesema alikuwa mwanamke ni Yohana (John)

Na hao wengine waliobaki ni Petro anafuata baada Yohana thn Yuda....kuendelea, wa mwisho kabisa ni Batholomayo.

Sio kwamba napinga kwsbb hata mimi sikuwepo, ila hii issue ilishajadiliwa sanaa Europe na muafaka ulipatikana kbs kwa mwandishi mwingine maarufu wa Italy kama nilivyokuambia.

Kuna kitabu nitakiupload na utakielewa vizuri, ila ktk mlo wa mwisho wa Yesu na wanafunzi wake jioni ile hakukuwa na Mwanamke miongoni mwao.

Na hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa Yesu aliwahi kuwa na mwanamke yeyote na kupata mtoto mpaka siku ya mwisho wake kuishi hapa duniani.

Atheists, devil worshippers na waarabu wa mediteranian ndio walianzisha hizi rumuors ili kuua nguvu imani ya kikristo.

Hii ikoje mkuu
 
Attachments

  • IMG-20161029-WA0134.jpg
    IMG-20161029-WA0134.jpg
    76.8 KB · Views: 85
Ngoja nirudi kwenye summary notes nilizoandika wakati nilipoisoma novel ya Da Vinci code. Nakumbuka niliisoma kwa umakini sana nikiwa naandika mambo muhimu.
Ni novel ya hatari kwa mwanadini asiye msomaji mzuri wa bible na ni msaada mkubwa wa mwanazuoni wa bible.
 
Hadi sasa hakuna aliyejibu hili swali zaidi ya kumjadili tu mchoraji.!
Huyo monalisa mpaka leo hajulikani ni nani na hakuna ushahidi wowote hata yeye mwenyewe da vingi hakumjua hiyo ni picha iliyomjia kichwani tu na kuichora tu lakini ajabu ndio picha maarufu zaidi tangu alivyoanza fani yake ya uchoraji
 
Mkuu peterchoka, Yesu wa Nazareti alikuwa na wanafunzi 12, aliyekuwa karibu naye upande wa kulia ni Tomaso (Thomas) na kwa upande mwingine huyo wanayesema alikuwa mwanamke ni Yohana (John)

Na hao wengine waliobaki ni Petro anafuata baada Yohana thn Yuda....kuendelea, wa mwisho kabisa ni Batholomayo.

Sio kwamba napinga kwsbb hata mimi sikuwepo, ila hii issue ilishajadiliwa sanaa Europe na muafaka ulipatikana kbs kwa mwandishi mwingine maarufu wa Italy kama nilivyokuambia.

Kuna kitabu nitakiupload na utakielewa vizuri, ila ktk mlo wa mwisho wa Yesu na wanafunzi wake jioni ile hakukuwa na Mwanamke miongoni mwao.

Na hakuna ushahidi wowote unaoonesha kuwa Yesu aliwahi kuwa na mwanamke yeyote na kupata mtoto mpaka siku ya mwisho wake kuishi hapa duniani.

Atheists, devil worshippers na waarabu wa mediteranian ndio walianzisha hizi rumuors ili kuua nguvu imani ya kikristo.
Mkuu hiyo picha ya last supper ushawahi kuiona? Unaweza kunisaidia kuipata?
 
Wewe tayar umeshajua.
Ni vyema utujuze
 
ila pia huwa naina kanisani kama sikosei, huwa ni picha ya mtakatifu fulan, tho sina uhakika
 
Lkn wengi mnasema alikufa akiwa hajaikamilisha na pia hakuelezea chochote.
Sasa hizi assumption zinatoka wapi?
Ingewezekana yeye angesema yake tofauti
 
Danny Brown anasema mwenyewe kuwa asilimia 99 ya alichoandika kwenye Da vinci code au vitabu vyake vingine kama Angels and Demons, Digital fortress n.k ni vitu vya kweli na sio fiction kama wengi wanavyosema
Acha urongo wewe....Yani unapindua alichokisema....Kwakifupi alisema vitu alivyoandika ni fiction na sio kweli..

Kwenye ulimwengu huu wa digital kudanganya ni ngumu
 
Ila mwaka 1947 zimepatikana nyaraka za siri kule israeli zikiwa zimefichwa kwenye mapango.
Hapo unasema nyaraka zimepatikana..
Vitu hivi vikijulikana ukristo utakua mashakani sana. Hivyo kwa gharama yoyote lazima vitu hivi vifichwe
Ila hapa inaonesha nyaraka hizo hazijapatikana na wasiwasi wako inaonesha vikipatikana Ukristo upo hatiani....

Hivi unajielewa kweli...Kama huna data ni bora usichangie...Unachanganya mlenda na chai
 
Back
Top Bottom