Mona Lisa ni picha ya dada mmoja kutoka koo ya kifalme huko ufaransa ambae Da vinci aliwahi kumpenda na hakukuwa na msichana mzuri machoni mwa da vinci zaidi ya huyu.
Lakini picha hii inawakilisha kitu kingine kikubwa sana. "The Holy grail" au royal bloodline of jesus. Hii ni picha si ya Maria Magdalena bali ni ya mtoto wa Maria Magdalena na Yesu aliyeitwa SARAH. Ikumbukwe kuwa Da vinci alikua ni grand master wa priori of zion hivyo moja kati ya majukumu yake yalikua ni kuhakikisha anautunza ukweli na kuhakikisha hii royal bloodline haipotei.
Hivyo akaamua kuuchora mchoro huo na ukawa kama secrete code ya the holy grail. Koo zote za kifalme za ulaya zimeunganishwa pamoja na hii kitu. Ikumbukwe kuwa Yesu alikua anatokea kwenye koo ya kifalme sawa sawa na maria magdalena.
Hivyo kanisa la Roma lilikua limedhamiria kuupoteza ukweli huu pamoja na secret societies zote kama vile priori of zion na knights templar ambao wamezihifadhi nyaraka hizi.
Hivyo Mona Lisa ni representation ya The Holy grail au royal bloodline of Jesus. Na wenye jukumu la kutunza siri hii ni priori of zion pamoja na knights templar.
Nawasilisha