Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ndio maana nikakuuliza unajua lengo la Yesu kuja duniani...??Kwanini unafikiri anaifunga imani yake..?
huu ni uongo mwingine...Biblia halisi inavitabu 72/73
unaweza ukatupa sababu ya kwanini vitabu hivyo vikaondolewa...? Unafahamu lengo la kuja kwa Yesu ulimwenguni...?
sio kuondoa tu...pia aliyeandika vitabu hivyo ni binadamu pia...Hata hivyo ambavyo havikuondolewa pia viliandikwa na binadamu pia
[quote{Moja kati ya vitabu vilivyoondolewa ni kitabu cha "gospel of peter" na "gospel of Marry magdalen"
Sio akiwa kijana hata akiwa mtoto maisha yake watu walipata kuyaandika..."gospel of Nativity"... Unafikiri sisi Wakristo tunaotaka wokovu tuliitaji kujua utoto wa Yesu au Ujana wake..? Ili iweje...Yesu alianza kazi aliyotumwa na Baba yake akiwa na miaka 33... Sisi tuna-focus na kazi zake...Mambo ya utoto na ujana wake ni mambo ya kishabiki tuu..
Ambayo siyo ya Kawaida ndio unaamini inaelezea ubinadamu wa Yesu..? Yes! Kwakuwa Yesu ni Mungu...
kabla huyo Constantine hajazaliwa Kanisa lilokuwepo ma Neno la Mungu lilikuwepo ..Sijui ulitaka kitiambia kitu gani hapa..
umeshawahi kuona hiyo ambayo haijachakachuliwa...?[/QUOTE]
Namsubiri ajibu kwa uhalisia kabisa hayo maswali yote lakini zaidi hilo la mwisho....!!!