Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

images(1).jpg
 
Uafrika kweli ni laana, huku kuitukuza hii picha yote hayo kisa kachora mzungu, nimeitazama sijaona lolote Kati ya wanayoandika hapa,
 
Wewe unatishia tishia au sijui unapima watu?

Hayo yoote unayoyaelezea kwanini usifunguke zaidi?

Assume yeye hayajui...si ufunguke kwa msaada wa wengine?
Eti anatishia tishia
 
Mkuu hii propaganda ilianzishwa na Atheists wa mwanzoni kabisa akiwepo Da Vinci aliyekuwa Atheists mwenye kipaji na akili nyingi sana.
Kama nikivyowaambia mwanzo da Vinci alikuwa haamini kama kuna Mungu so nae alikuwa kwenye hizi devil worshiper secret societies. So na hii ulikuwa Ni mpango shetani kuharibu historian ya YESU na ili apate wafuasi wengi tu. Na amefanikiwa kwa kiasi Fulani.
Remember Da Vinci alikuwa haamini kama kuna Mungu.
 
Alikuwa haamini kuna Mungu...but still kazi zake nyingi sana zinatumiwa na makanisa...???!!
haamini kama kuna Mungu so nae alikuwa kwenye hizi devil worshiper secret societies. So na hii ulikuwa Ni mpango shetani kuharibu historian ya YESU na ili apate wafuasi wengi tu. Na amefanikiwa kwa kiasi Fulani.
Remember Da Vinci alikuwa haamini kama kuna Mungu.[/QUOTE]
Alikuwa haamini kuna Mungu...but still kazi zake nyingi sana zinatumiwa na makanisa...???!!
 
si Mariam *****... Yasemekana Mariam mwingine na ametajwa kwenye bible hata wanafunzi Wa Yesu walikuwa na wivu nae na walilalamika why anamkiss kwa muda mrefu na Mara kwa Mara... Pia yasemekana ni mkewe na ile harusi aliyo tengeneza pombe kimiujiza ilikuwa harudi yake... Kwa wana historian na pia inapatikana kwenye kitabu cha injili ya Barnaba... Nimesoma soma tu kwenye vyanzo mbali mbali
gosper of barnabas,
 
hii thread ishahsmia ktk dini, ila kama ni kuhusu da vinci yule jamaa ana mengi zaidi ya dini ktk kazi zake...
 
duuuuh! Mshana Jr mchango wako hapa ungesaidia sana! njooooo chap!...GENTAMYCINE please njooo.....
 
Inaitwa Gioconda au ukipenda monalisa ni kazi ya Leonardo da vinci mtaalam wa kuchora kutoka Firenze ipo pale ufaransa katika nyumba ya sanaa ya Louvre sijawahi kwenda paris au kuisoma historia ya Leonardo da vinci ila nilipata bahati mwaka jana kwenda Firenze ila nitaisaka historia yake maana hii picha kwa wale wachoraji ina tafsiri nyingi sana hata ile nyengine nayo wataliani wanaiita ultima chena au kwa kiswahili itakuwa chakula cha mwisho kile cha yesu na wanafunzi wake pia ina maana nitaisaka kwa kweli niisome
Mkuu paris ipo nchi gani
 
Asante mkuu
 
Kwanza tabasamu lake hubadilika, yaani ukimwangalia straight anatabasamu na ukimwangalia kwa upande kanuna.
Hilo tabasamu limewachanganya watu wengi enzi hizo na mmoja alijitupa kwenye daraja na mwingine aliiangalia na kusema nimechoka kuliona hili tabasamu na kujipiga risasi ya kichwa.

Kwa kweli maajabu mengine siyajui zaidi ya kope zake
Mkuu hii picha mchoraji hakuweka kope kabisa na hadi leo wataalam wa paintings wanajiuliza ni vipi haikukamilika au ni ujumbe?
 
Nilihadithiwa miaka mingi kidogo, wanasema hyo picha inareflect any kind of feelings yan unahotaka kuona utakiona, ukitaka kuona sura ya huzun ukimuangalia Kwa makin utaona huzun, furaha utaona sura ya furaha, uchovu etc yan chochote.

Nlijaribu kufanya hvyo nkaona ni kweli baada ya kuiangalia kwa kina, hebu na ww jarbu unipe mrejesho
Swali linakuja je hizo feelings utaziona kwenye picha hiyo hiyo original tu iliyoko France au hat akwa picha zingine copy ya Monalisa zilizochorwa na wasanii wengine??
 
Mkuu hii picha mchoraji hakuweka kope kabisa na hadi leo wataalam wa paintings wanajiuliza ni vipi haikukamilika au ni ujumbe?
Mwaka 2007 engineer mmoja huko Ufaransa baada ya kuangalia kwa kutumia ultra-high resolution scan alisema kuwa kope zilikuwepo ila baada ya kuisafisha picha kwa miaka mingi imefutika.
 
Back
Top Bottom