Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Naomba kufahamishwa kwa kina kuhusu picha maarufu ya Monalisa

Hii picha ni popular tu kutokana na innovations zilizoonekana ni mpya wakati huo katika uwanja wa painting tu. Nothing special anyway. Huyo Jamaa aliimagine picha ya mwanamke mzuri akamchora na akaweza kuchorwa kwa kiwango cha juu, kununuliwa bei kubwa ni appreciation ya watu kutaka kuwa na kitu kipya cha kumbukumbu basi. Ila watu wakajikuta wana associate na vitu na kucreate story ambazo hazipo. Picha zote alizochora huyu jamaa zilichorwa kwa kusoma habari za nyuma na akavuta imagination akachora
Ndugu naona umeamua kurahisisha mambo na kututoa kwenye fikra zetu za ugumu wa hii picha
 
Jamani mm nashukuru sana ww jamaa uliyeleta huu uzi maana nimeoNa a vitu ambavyo nina uhakika huenda mm nikawa mtu wa kwanza kuving'amua maana wote mlioleta mrejesho wa hii picha hamjavigusia kabisaaa

Hii picha nimeenda kuitafuta mtandaoni na nikai-zoom nilichokiona ni maajabu tuu na kiufupi huyo mchoraji ni hatari

Mm sikuhangaika na sura ya huyo mwana mama nilikomaa na background nimeona vingi isipokuwa hiyo sura ya simba aliyekufa

Kiufupi hiyo picha inaweza kuwa na sura nyingine yapata 15 maana mimi nimeona sura takriban 10 na pia kuna sura ya mnyama anafanana na simba hii sura imeungana na sura nyingibe ya mtu kwa chin] yake
 
Pia kuna mijengo miwili nimeshindwa kuielewa isipokuwa mmoja ni kama mjengo wa kifalme

Pia kuna daraja

Halafu hiyo picha ina macho mengi mnoo

Pia sura zote nilizoziona ni za kiume isipokuwa ya huyo lisa ndo ya kike pekee

Kilichonitisha ni uwezekano wa hiyo picha kuwa na namba 666 ni hayo tuu

Wanaohangaika na sura waendelee ila utamu wote uko background ukiizoom
ila hii dunia wajomba tuiacheni kama ilivyo maana .......[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Knights templar ni wale wapiganaji wa Kiulaya waliojificha chini ya sinagogi huko Nchi takatifu wakati wa vita ya msalaba.Hawa walikusanya mali zote na siri zote za dunia hii na ndiyo msngi wa utajiri na siri wazitumiazo wazungu kutawala dunia.Siri hizi zinalindwa na jamii za siri mojawapo ni prioru of zion.Kanisa katoliki hutaka kuzikamata siri hizi lakini linashindwa kwani hata ndani ya kanisa wapo wanachama wa jamii hizi.
Ethiopian Knight temple kuna siri kubwa sana hapo maana ulinzi wake ni mkubwa sana sijui kuna nini?

004296fabcceeacb9ddf3a09b8473f23.jpg
 
Hiyo sura ya mtu begani inazo tena sura zingine kama 3 hivi upo!!!
 
Hii ni propaganda tu...some modifications/photoshop
Sasa mkuu hiyo picha original inatembea kwenye historia tangu enzi hizo hamna hata computer.. We unasema photoshop wakati maelfu ya watu wameiona hiyo picha tangu enzi hizo
 
Nimefurahia hii stori sana.kwan huyujamaa aliychora hii picha hakuchora n nyingine za ajabu kama hii???
 
Movie ya "national treasure" inakupa mwanga kuhusu jinsi watu wa zamani wa secret societies walivyoficha codes zao kwenye paintings.

Ukiiangalia ile movie unaweza kuamini kuwa kuna codes zimefichwa humo.. Isitoshe ma-genious huwa wanatokea kwenye hizi secret societies
 
Haiwezi kuwa ukweli kamwe

Hiyo idea/ Huo uongo ulianzishwa na Atheists na Waabudu mashetani wa miaka ya zamani sana ili kuvunja imani ya Kikristo na kupata agents na ikaja kusapotiwa na wenye dini tofauti na ukristo kuaminisha watu kuwa Yesu alilala na mwanamke hapa duniani na kuzaa mtoto.
Na huyu Da vinci yawezekana alitumika kueneza huu uongo!
 
Back
Top Bottom