Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Hii dunia ina mengi ukitaka kuyajua yote utakua chizi kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu naona umeamua kurahisisha mambo na kututoa kwenye fikra zetu za ugumu wa hii pichaHii picha ni popular tu kutokana na innovations zilizoonekana ni mpya wakati huo katika uwanja wa painting tu. Nothing special anyway. Huyo Jamaa aliimagine picha ya mwanamke mzuri akamchora na akaweza kuchorwa kwa kiwango cha juu, kununuliwa bei kubwa ni appreciation ya watu kutaka kuwa na kitu kipya cha kumbukumbu basi. Ila watu wakajikuta wana associate na vitu na kucreate story ambazo hazipo. Picha zote alizochora huyu jamaa zilichorwa kwa kusoma habari za nyuma na akavuta imagination akachora
Ethiopian Knight temple kuna siri kubwa sana hapo maana ulinzi wake ni mkubwa sana sijui kuna nini?Knights templar ni wale wapiganaji wa Kiulaya waliojificha chini ya sinagogi huko Nchi takatifu wakati wa vita ya msalaba.Hawa walikusanya mali zote na siri zote za dunia hii na ndiyo msngi wa utajiri na siri wazitumiazo wazungu kutawala dunia.Siri hizi zinalindwa na jamii za siri mojawapo ni prioru of zion.Kanisa katoliki hutaka kuzikamata siri hizi lakini linashindwa kwani hata ndani ya kanisa wapo wanachama wa jamii hizi.
Picture can tell more than a thousand wordsNdio nmeona sasa sura ya mtu begani....
kweli kusoma picha inahitaji ustad wa hali ya juu
Hii ni propaganda tu...some modifications/photoshopAzarel nimeenda google nimekutana na kitu hiki
View attachment 427366
Kuna ukweli hapa au ni propaganda tu?
Sasa mkuu hiyo picha original inatembea kwenye historia tangu enzi hizo hamna hata computer.. We unasema photoshop wakati maelfu ya watu wameiona hiyo picha tangu enzi hizoHii ni propaganda tu...some modifications/photoshop
Imebeba no U James deliciousHii picha imechorwa na genious Da Vinci during medieval era..inasemekana imebeba siri nyingi saana. Siri hizo wachache saana wamepata bahati ya kuzing'amua.
hicho hakimsaidii kujua kuhusu hiyo picha Mkuukwa kukusaidia fasta fasta tafuda kitabu kinaitwa da vince code, kipo ktk pdf usome mwenyewe
mengi yameandikwa ila hakuna anayekumbuka hayo meng mlisoma kichwa cha habar tu?Ni mengi yameandikwa kuhusu Lisa mengine ni hadithi tu.
Acha tusubiri [emoji106]
Nilichangia kidogo sana, rejea #24mengi yameandikwa ila hakuna anayekumbuka hayo meng mlisoma kichwa cha habar tu?
Na huyu Da vinci yawezekana alitumika kueneza huu uongo!Haiwezi kuwa ukweli kamwe
Hiyo idea/ Huo uongo ulianzishwa na Atheists na Waabudu mashetani wa miaka ya zamani sana ili kuvunja imani ya Kikristo na kupata agents na ikaja kusapotiwa na wenye dini tofauti na ukristo kuaminisha watu kuwa Yesu alilala na mwanamke hapa duniani na kuzaa mtoto.