Asnte250000
Sawa apunguze pakubwa afu ndo nimsameheSiku hizi hawalipwi so msamehe hilo deni Mungu atakulipa zaidi
Asante lakini bado sina uhakika kila mtu ananijibu anavyo jua yeye-370000
Poa mkuu nazidi kuthibitishaTake hom
Sh. 400, 000/=
Asante kwa ushirikiano wakoPoa mkuu nazidi kuthibitisha
yote hyo uringe em punguza amsini apo ibaki 350 boyTake hom
Sh. 400, 000/=
Lakini mkuu si wapo waajiliwa humu watanijibu hakuna haja ya kuficha coz hawatumii ID zao original wafunguke tuWatakuambia kulingana na waraka wa mwaka husika
[emoji23] [emoji23] mbav zanguSiku hizi hawalipwi so msamehe hilo deni Mungu atakulipa zaidi
Kwa mwajiri mwenye maadili hawezi fanya ivyo maana watu wengine humu wanadharu kada mbalimbali za watu kwa ajili ya ku expose mambo nyeti kama hayo ,.Lakini mkuu si wapo waajiliwa humu watanijibu hakuna haja ya kuficha coz hawatumii ID zao original wafunguke tu