Naomba kufahamishwa sifa za blood group "O+" positive

Universal donor. Watu muhimu sana nyie na mpo wachache sana katika jamii zetu.

Jilinde mkuu maana unaweza kuja kutusaidia baadae..
Aanze kulindwa kama wale kina faru John mara Ndugai,huyu ni muhimu zaidi.
 
mimi pia ni o+ na wife ni A+ =je mtoto wetu atakuwa kundi gani?
 


Uko sawa. Napenda wanawake wenye tako laini ili nilale hapo. Napenda nisaidie mtu mwenye matatizo, malaria inanisumbua sana hasahasa nikishatumia kilevi. Namba 6 uko sawa kabisa. Malaria 0+ wansumbuliwa sana sababu mbu wanapenda hii group kuliko grup zingine.
 
Upuuuuzi tuuu
 
Nina o+ ila tangu nijitambue sijawahi kuumwa malaria, Mafua mwaka tunaweza pita bila bila
 
Vya ugonjwa siyo kweli mm malaria ckumbuki lini niliugua makalia bila kuangalia sura na kutoa misaada kweli kabisa kuongea kweli
 
Exactly mr
Na watu watoe hofu ktk hili atakapo zaa mtt wa kwanza ni muhimu kuwahi kupata chanjo inayoitwa anti D ili kuondoa zile rh + kwa mama ili mimba nyngn iweze kukuA vzr.
 
mimi pia ni o+ na wife ni A+ =je mtoto wetu atakuwa kundi gani?
Kuna uwezekano (probability) wa kupata mtoto/watoto wenye "blood group A au O pekee.

Kwa lugha nyingine ni kwamba uzao wenu wote (yaani watoto ote mtakao zaa) ni lazima wawe katika makundi mawili tu ya damu (A/O), kwa sababu, Mme ukiwa na blood gp A unakuwa na Vinasaba/jini za blood gp O pia ingawa haiwezi kuonekana kwa sababu zimejificha (recessive) kwenye jini A na Mke akiwa blood gp O maana yake ana jini 2 (OO) ambazo zote ni recessive.

So ukifanya crossing hapo (AOxOO) watoto mtakakuwa mnawapata ni AO (blood gp A) na OO (blood gp O).

Kama Mme una blood gp A na Mke ana blood gp O, ikitokea mmepata mtoto/watoto wenye blood gp zingine (AB, B) mbali na blood gp A au O, basi mjuwe kuwa mtoto/watoto hao (AB, B) watakuwa wametoka nje ya ndoa.
 
Asante mkuu tuna club yetu tunajuana, unajua pia sisi damu twaweza mpa yeyote lakini sisi twapeana wenyewe tu? Nashukuru Mungu pia ninae mtu wa karibu sana mwenye group hii ambae tunashea nae mpaka DNA, my lovely daughter.

Mkuu;
Yaani hii sifa ndio ambayo nadhani mleta hojaalitakiwa aijue. Sisi tu wachache saana kwa kweli. Tunaweza mpa kila mtu damu lakini hatupokei ya group nyingine. Na mimi nitaenda chunguza katika familia yangu. Huenda pia akawa ni huyu binti yangu. Sikujua kama Tz kuna mwingine. Ningetamani jamani tufahamiane tu just in case.
 

Aiseeeeeee big up sana ndugu you must be a well experienced doctor , yaani mule mule isipokuwa kutangaza msaada. Hongera
 
MKUU ungesema kweli tupu. Hebu elezea na Makundi mengine kama A+, B+, AB+.
 
Ahsante sana mkuu
 
Njoo inbox nikwambie..
Haya ndo mambo yasiyokua na maana ktk jamii.jambo dogo hili kama inalijua na mtu ameuliza hadharani we unamwambia aje inbox ndo nini sasa! hii ni kama ushamba
 
hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…