Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu bata bukini

Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu bata bukini

Hawa
1634319618088.png
1634319618088.png
 
Kuna mtu nilimuuliza kwa Nini wanauzwa Bei ya juu Sana,alinijibu kwa mwaka wanataga mayai mawili tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiyo maana wanauzwa hivyo,Tena alisisitiza,ni kwa ajili ya mapambo tu wanafugwa Kama vile njiwa au kasuku,sio kwamba eti utawafanya kitoweo,big nooo,ndiyo maana wako wachache Sana.
 
Babu yangu anao ngoja nikamuulizee...

Hawa bata bikini noma sana ukiwapa tu mgongo wanakufukuza na ukiwa mwoga wanakudonyoa huku wanapiga kelele, ukisimama na wao wanasimama! alafu wanazuga!

Ni wazuri sana kwa ulinzi wa nyumbani ila uwe na hela!
Muda wote wapo smart.
hata kukiwa na mvua.
Kuna wakati niliwahisi ni majini
 
Wanataga mayai mengi Zaidi ya hayo ila kama wewe masikini hawatagi hata Yai Moja hawakaagi Na masikini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa bata huuzwa bei ghali sana, hutumika kama walinzi kwasababu wana uwezo wa kushika na ukitumia SMG kama brother Hamza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa bata huuzwa bei ghali sana, hutumika kama walinzi kwasababu wana uwezo wa kushika na ukitumia SMG kama brother Hamza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi we dogo unaadabu kweli wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za leo,
Ntaomba kufahamishwa kuhusu Hawa Bata,nataka kuwafuga kwa kweli.
Hua naaikia wanataga mayai mawili tu kwa mwaka.
Kama Kuna taarifa nyingine au Kuna mtu anawafuga, mwenye uzoefu nao anifahamiahe zaidi.
Nauza pair elfu 60 wanataga.
sababu ya kuwauza hivi.
nipo mbali na wanakosa wakuwatunza nataka kuwauza wote wapo 60.

NB:Nauza wote
IMG_20211004_100139.jpg
 
Babu yangu anao ngoja nikamuulizee...

Hawa bata bikini noma sana ukiwapa tu mgongo wanakufukuza na ukiwa mwoga wanakudonyoa huku wanapiga kelele, ukisimama na wao wanasimama! alafu wanazuga!
Typing error [emoji848]
 
Back
Top Bottom