Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu bata bukini

Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu bata bukini

Ndo naana yake mkuu yaani jamaa ni mwenyeji lakini wanamsumbua mpaka ashike fimbo na kuwachapa ndo wanatulia sasa huyo ni mwenyeji mgeni je si balaa! Maana hawataki mtu aliyezubaa!
Ndiyo Wapo Hivyo Ama Hao Ni Watata Tu
 
Hawa bata bukini nawapata wapi ili kazi niianze
Piga call 0746696878
Nipo dsm chanika
Pia Kuna bata aina nyinnge kama mallard, jumbo perkin, khaki Campbell, Indian runner ,Rouen na black Swedish
 
Attachments

  • IMG_7743.MOV
    9.1 MB
  • IMG_7576.MOV
    29.6 MB
Muda wote wapo smart.
hata kukiwa na mvua.
Kuna wakati niliwahisi ni majini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tunao wengi Sana nyumbani mzeee afu huwa atiwafungii bandani ni kutembea uwanjani usku mzima na wanapiga kelele kishenzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tunao wengi Sana nyumbani mzeee afu huwa atiwafungii bandani ni kutembea uwanjani usku mzima na wanapiga kelele kishenzi
Na Wana mikwara ukiwa muoga unaweza kuwakimbia
 
Back
Top Bottom