Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Ndo naana yake mkuu yaani jamaa ni mwenyeji lakini wanamsumbua mpaka ashike fimbo na kuwachapa ndo wanatulia sasa huyo ni mwenyeji mgeni je si balaa! Maana hawataki mtu aliyezubaa!Kumbe wanahatari.
[emoji23][emoji23][emoji23] tz jau sana.Wanataga mayai mengi Zaidi ya hayo ila kama wewe masikini hawatagi hata Yai Moja hawakaagi Na masikini
Hapo Mjini DumilaMorogoro Dumila
Ndiyo Wapo Hivyo Ama Hao Ni Watata TuNdo naana yake mkuu yaani jamaa ni mwenyeji lakini wanamsumbua mpaka ashike fimbo na kuwachapa ndo wanatulia sasa huyo ni mwenyeji mgeni je si balaa! Maana hawataki mtu aliyezubaa!
Haa Teh
Upo wapi mkuuNauza pair elfu 60 wanataga.
sababu ya kuwauza hivi.
nipo mbali na wanakosa wakuwatunza nataka kuwauza wote wapo 60.
NB:Nauza wote
View attachment 1975698
Piga call 0746696878Hawa bata bukini nawapata wapi ili kazi niianze
Kama kutimiza ndoto ndo huku!Basi tenaUkiwakosa labisa chukua bata wa kawaida na umvalishe bikini umfuge utimize ndoto
Hahahah duhWanataga mayai mengi zaidi ya hayo ila kama wewe masikini hawatagi hata yai moja hawakaagi na masikini
Nina wengi mkuu Ila Bei zao utaweza maana mkubwa mzuri Bei ni 100kHawa bata bukini nawapata wapi ili kazi niianze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tunao wengi Sana nyumbani mzeee afu huwa atiwafungii bandani ni kutembea uwanjani usku mzima na wanapiga kelele kishenziMuda wote wapo smart.
hata kukiwa na mvua.
Kuna wakati niliwahisi ni majini
Na Wana mikwara ukiwa muoga unaweza kuwakimbia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tunao wengi Sana nyumbani mzeee afu huwa atiwafungii bandani ni kutembea uwanjani usku mzima na wanapiga kelele kishenzi