financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mbona kama umepanic mjomba kuliko hata yeye au mtu mmoja I'ds tofauti? Pole sana ila kama nilivosema hili ni jukwaa huru ana haki na kaitumia kuandika! Nna haki na nimeitumia kuchangia kama comment yangu imekuudhi vunga endelea na comments nyingine mbona simple tu, kupangiana cha kuandika siyo kabisa umenikosea tena uniombe radhi😬😬We bana wee hampendani. Mbona sisi wanaume tunatajiana machimbo bila noma Wala maswali maswali. Alafu kwani wewe hujui kinacho enda kufanyika huko au basi ujuaji tu......?
Punguza ujuaji ndugu yetu, Kama unaweza muoneshe huwezi vunga nyie ndio mnao fanya watu wasichangie mada humu kwa sababu ya ujuaji wenu