Naomba kufahamu bei ya pikipiki aina ya XR 250 mpya

mishe zangu mkuu zinahitaji pikipiki sio gar
Niliwai kukutana na jamaa mmoja buguruni ana honda cc 2600 , amenunua milion 45. Element yake amenunua million 8, na anazo elementi kama 10 kwake pia amenunua na airbag ya piki piki, inakuwa kama overlol lkn yenye ina kama upepo ambayo hata ukiburuzika ktk lami haumiii ,
 
Mi nina XLR 250 Honda sasa sijui hiyo XR ni tofauti.

We nunua engine tu nzuri m3 ma bodi kibao ya 200/250 yapo. Body liwe na Kadi na shock up ya kati iwe nzima. Ile shockup ni laki 3 na exhaust pipe laki 3
Vyote viwepo. Ukitaka nzima mzima Utalizwa. Body bei ya kawaida sio mbaya inanunulika ni maelewano.
 
Chopa man
Screenshot_20210217-103124.jpg
 
Niliwai kukutana na jamaa mmoja buguruni ana honda cc 2600 , amenunua milion 45. Element yake amenunua million 8, na anazo elementi kama 10 kwake pia amenunua na airbag ya piki piki, inakuwa kama overlol lkn yenye ina kama upepo ambayo hata ukiburuzika ktk lami haumiii ,
Mzee ni helmet ama element?
 
Mi nina XLR 250 Honda sasa sijui hiyo XR ni tofauti.

We nunua engine tu nzuri m3 ma bodi kibao ya 200/250 yapo. Body liwe na Kadi na shock up ya kati iwe nzima. Ile shockup ni laki 3 na exhaust pipe laki 3
Vyote viwepo. Ukitaka nzima mzima Utalizwa. Body bei ya kawaida sio mbaya inanunulika ni maelewano.
Body ni yeye mwenyewe [emoji28]
 
XR zipo,tofauti ya XR na XLR ni oil cooler..XR inayo na XLR haina
Mi nina XLR 250 Honda sasa sijui hiyo XR ni tofauti.

We nunua engine tu nzuri m3 ma bodi kibao ya 200/250 yapo. Body liwe na Kadi na shock up ya kati iwe nzima. Ile shockup ni laki 3 na exhaust pipe laki 3
Vyote viwepo. Ukitaka nzima mzima Utalizwa. Body bei ya kawaida sio mbaya inanunulika ni maelewano.
 
SAFI SANA KWA HISTORIA NZURI
Baja ni jina la jangwa huko Mexico ambapo mashindano ya kidunia yalikuwa yakifanyika. Honda walikuwa washiriki wenye mafanikio, hiyo Baja ni Lebo ya mashindano kama Paris-Dakar Rally. Kuna Honda 450 zilikuja na tank zenye label ya Paris-Daka
 
kwaa bei ya wap hiyo mzee
nilienda kuulizia mererani(arusha) mtumba inachezea kwenye 9ml
Yes, hata mimi jamaa wenye nazo huku mererani nikiuliza wanasema milioni 5+... Inategemea ipo kwenye ubora gan.

Kuna jamaa namjua alinunua yake kwa milioni saba sema ilikuwa kwenye hali nzuri kiasi fulani
 
Niliwai kukutana na jamaa mmoja buguruni ana honda cc 2600 , amenunua milion 45. Element yake amenunua million 8, na anazo elementi kama 10 kwake pia amenunua na airbag ya piki piki, inakuwa kama overlol lkn yenye ina kama upepo ambayo hata ukiburuzika ktk lami haumiii ,
mh, hii ya airbag skuwahi isikia mkuu,ni kweli au unatupanga ??[emoji16][emoji16]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sasa hizo XR na XRL ni matoleo ya Zamani yaliyozalishwa miaka ya 1980 Sasa hazitengenezwi Tena. Honda saizi wanatengeneza CRF kuanzia 125/150/250/450 ambazo ni Rally na Kawaida.

View attachment 1862236
Ila kiukweli upande wa design XR ama XRL ziko vizuri kuliko hizi CRF , yaani CRF zimekaa kma dinossour[emoji16]
 
Niliwai kukutana na jamaa mmoja buguruni ana honda cc 2600 , amenunua milion 45. Element yake amenunua million 8, na anazo elementi kama 10 kwake pia amenunua na airbag ya piki piki, inakuwa kama overlol lkn yenye ina kama upepo ambayo hata ukiburuzika ktk lami haumiii ,
Sasa Helment 10 imeingiaje au ndio kunogesha mada? Mpaka utaje idadi? Naomba unishushe bro
 
Back
Top Bottom