Naomba kufahamu bei ya pikipiki aina ya XR 250 mpya

Naomba kufahamu bei ya pikipiki aina ya XR 250 mpya

Ila kiukweli upande wa design XR ama XRL ziko vizuri kuliko hizi CRF , yaani CRF zimekaa kma dinossour[emoji16]
CRF unazo sema zimekaa vibaya ni za Rally mbele hazina taa. Ya kawaida ipo na taa ndogo ya pembe 4. XR na XRL ni outdated uzito wa pikipiki ulikuwa mkubwa ila CRF chasis wameweka ngumu na nyepesi nadhani hazizidi kilo 85.

XR kufika speed za juu zilikuwa mpk utumie RPM kubwa.
 
Mnyama haswa kapewa weight ndogo injini zake saizi ni za kisasa matoleo ya mwanzo zinatumia carburetor na za kisasa ni fuel injection pump na valve 4 (2inlet &2outlet). Hii inakufikisha popote ushindwe wewe dereva.
Hatari seaman,hiyo ndio inaenda hela ngapi?
 
Mpya inaenda USD 8000 mpaka 10,000.
Used kwa walioleta mpaka Tanzania ni kuanzia million 11 mpaka 15 pamoja na kusafirisha, Kodi na usajili.
Weka neno hapo
Screenshot_20210722-141917_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom