Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Huyu mnyama hasa aiseeKwa sasa hizo XR na XRL ni matoleo ya Zamani yaliyozalishwa miaka ya 1980 Sasa hazitengenezwi Tena. Honda saizi wanatengeneza CRF kuanzia 125/150/250/450 ambazo ni Rally na Kawaida.
View attachment 1862236
CRF unazo sema zimekaa vibaya ni za Rally mbele hazina taa. Ya kawaida ipo na taa ndogo ya pembe 4. XR na XRL ni outdated uzito wa pikipiki ulikuwa mkubwa ila CRF chasis wameweka ngumu na nyepesi nadhani hazizidi kilo 85.Ila kiukweli upande wa design XR ama XRL ziko vizuri kuliko hizi CRF , yaani CRF zimekaa kma dinossour[emoji16]
Mnyama haswa kapewa weight ndogo injini zake saizi ni za kisasa matoleo ya mwanzo zinatumia carburetor na za kisasa ni fuel injection pump na valve 4 (2inlet &2outlet). Hii inakufikisha popote ushindwe wewe dereva.Huyu mnyama hasa aisee
Hatari seaman,hiyo ndio inaenda hela ngapi?Mnyama haswa kapewa weight ndogo injini zake saizi ni za kisasa matoleo ya mwanzo zinatumia carburetor na za kisasa ni fuel injection pump na valve 4 (2inlet &2outlet). Hii inakufikisha popote ushindwe wewe dereva.
Mpya inaenda USD 8000 mpaka 10,000.Hatari seaman,hiyo ndio inaenda hela ngapi?
Weka neno hapoMpya inaenda USD 8000 mpaka 10,000.
Used kwa walioleta mpaka Tanzania ni kuanzia million 11 mpaka 15 pamoja na kusafirisha, Kodi na usajili.
Si mchezo jibaba,ina bei sawa toyota crown!Mpya inaenda USD 8000 mpaka 10,000.
Used kwa walioleta mpaka Tanzania ni kuanzia million 11 mpaka 15 pamoja na kusafirisha, Kodi na usajili.
Hii siifahamu mkuu, inaonekana ipo vizuri ni latest ya 2020.Weka neno hapoView attachment 1863326
Una umri gan kwanza kabla hatujakuelekeza masokoWakuu naomba kujua bei ya hii pikipiki ikiwa bado mpya kabsa kwa hapa Tanzania naipenda kuliko hata gari