BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mbadala wake unaweza kuwa nini ukiachana na NET au dawa za mbu za koili.wengi
Jf Bwana😂 Kila mtu ni mjuaji na mshauri !! Hizi taa zina Circuit ambayo inatoa sauti ya Mbu Dume hivyo Mbu majike(wanaoeneza Homa ya Malaria) huvutwa na hatimae upigwa Short na High Voltage Circuit hivyo upelekea kufa kwa hao mbu. Vinaweza kuwa weak iwapo Battery (chager yake kuwa low) lakini vinafanya kazi vizuriHivyo vidude bana hakuna kitu ni utapeli tu.
Inavuta mbu tena wachache sana,lakini sio kwamba inaondoa usumbufu wao,kama unavyojua jinsi walivyo wengi.
Kidogo iwe umefunga milango na madirisha hakuna kuruhusu wengine kuingia.
Huo mwanga wa utraviolet ndio unawavutia mbu kulingana na macho yao, hii pia hutokea ukiwasha simu kwenye giza mbu hufuata huo mwanga, kinachoua ni waya zenye umeme wa DC wenye kiwango kikubwa sana kuliko unaoingia AC au DC, mbu akigusa hizo waya zilizozungurushwa na kuifanya taa iwe katikati humrarua au kumkausha. Uono wa macho ya nzi unakaribiana na wa mbu kwenye kufuata mwanga wa taa.Wadau hivi ni kweli taa hizi za mbu zina uwezo wa kuvuta na nzi.
Vipi bei yake halali ni Tsh ngapi
Thanks a lotkuhusu kufukuza mbu inategemea na ukubwa wa chumba mwambie anayekuuzia ukubwa wa eneo kusudiwa ili akupe device cha kuendane na mazingira yako