Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sanaKwenye hizi meza tupo wajasiriamali tunaouza jumla tu kwa kugawa kuanzia pc 5 nk ama ukitaka caton. Maduka ya jumla yapo ukifika utayaona bt wachina wanauza caton tu, na kuna maua mazuri(viatu) unakuta tumenunua chote kwa mchina hamna. Kwa ushauri anzia kwetu maana tunauza kinacholika sokoni by the way kama ni mzuri kwa kulenga kiatu sio mbaya ukaingia dukani na kama mtaji hauko poa anzia kwetu pia unaweza changanya aina tofauti kwa pesa ulionayo. For more info +255784705349
subscribedSafi sana
Kiatu cha 5K mbezi hapo kwenu wanachukua kwa sh.ngapi bei ya jumla?
simpo au sliper?Safi sana
Kiatu cha 5K mbezi hapo kwenu wanachukua kwa sh.ngapi bei ya jumla?
Safi sana
Kiatu cha 5K mbezi hapo kwenu wanachukua kwa sh.ngapi bei ya jumla?
Safi sanaKwa mgawanyo wetu kwa simpo jumla 6000,6500,7000 nk. Hapo rejareja ni 10k na punguzo lipo nafikiri kwa mbez bei ya simpo inalandana. Ila kuna quality ya chini ama mzigo umebuma kwa mchina yani imemkamata ndo anashusha bei hata 4000 ama 5000 jumla bt ukiona kiatu chinga wa jumla amekataa ujue ukiingiza hela yako utaichoma.