Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

Habari za mda huu wakuu... Nimeona niulize swali hili pia kwa manufaa ya wengine wanaopenda kusoma kozi za programming kama (Cyber security) .Je, computer ya mtu Huyu inatakiwa iwe na sifa zipi angalau.
Hili swali angeuliza mtu wa education au social developemnt ningemuelewa.

Mtu wa kozi yako ndio ilibidi utupe majibu ya hilo swali sio utuulize sisi.
 
Hapana mkuu labda ndo kaingia,
Tafuta core i5 10th gen na kuendelea na RAM iwe walau 8GB na SSD then kwa GPU yoyote tu itafaa.
 
Kama unasoma hiyo kozi na unauliza swali kama hili hiyo kozi haikufai. Programing inahitaji kufikiri, inahitaji uwe mbunifu sana.
 
Mmemuonea lakini what if ndo anaenda chuoni, semester ijayo yupo anajiandaa kwa kutafuta details za gadgets zinazoitajika.
 
Mmemuona lakini what if ndo anaenda chuoni, semester ijayo yupo anajiandaa kwa kutafuta details za gadgets zinazoitajika.
Sijui kuhusu field nyingine. Ila iko hivi hakuna kitu kipya kwenye field ya IT. Maisha ya programing kila siku ni kutafuta njia ya kuondoa errors kwenye project. Kama unashindwa kutumia internet vizuri hii kozi achana nayo mapema sana vinginevyo malengo yako ni kupata cheti tu.

Hii mada aliyoleta hapa angetafuta vizuri hata google angepata majibu mazuri kabisa kuliko kusubiri kuingizwa chaka hapa. Kibongobongo Internet ndio maktaba yako kwenye hii field usitegemee mwalimu atakupa hata asilimia 20 ya unavyotakiwa kujua kuwa compitent. NEVER.

Nimewahi kuwa huko naelewa.
 
Habari za mda huu wakuu... Nimeona niulize swali hili pia kwa manufaa ya wengine wanaopenda kusoma kozi za programming kama (Cyber security) .Je, computer ya mtu Huyu inatakiwa iwe na sifa zipi angalau.
Mimi ni yule mtu anaeamini kwamba "Macbooks are the best and user friendly devices for Programmers and tech ethusiasts".
Linus Torvalds, mtengenezaji wa mfumo endeshi/Kernel ya. Linux, yeye pia hutumia Macbook Air.

Kama budget yako ni nzuri tafuta Macbook Pro zinazotumia Apple Silicon chips(M1, M2 chips e.t.c), zinakaa na charge mda mrefu ambayo inaweza kuwa advantage kwa mazingira ya chuo, zinatumia Unix under the hood hivo ni rahisi kupata sense kama upo kwenye Linux OS, na tutorials nyingi mtandaoni, vitabu vingi huwa vina assume unatumia Linux based OS au MacOS, zinakua na Neuroengine ambayo itakupa perfomance ukiwa unafanya Artificial intelligence computations ndani ya PC yako, graphics zake ni nzuri.

Linus-Torvalds.jpg
 
Anyway, tafuta Pc yoyote yenye Processor angalau Core I5 na kuendelea itakufaa. Na jitahidi kuongeza ujuzi wako kwenye kutumia internet utakua bora zaidi.
 
Mimi ni yule mtu anaeamini kwamba "Macbooks are the best and user friendly devices for Programmers and tech ethusiasts".
Linus Torvalds, mtengenezaji wa mfumo endeshi/Kernel ya. Linux, yeye pia hutumia Macbook Air.

Kama budget yako ni nzuri tafuta Macbook Pro zinazotumia Apple Silicon chips(M1, M2 chips e.t.c), zinakaa na charge mda mrefu ambayo inaweza kuwa advantage kwa mazingira ya chuo, zinatumia Unix under the hood hivo ni rahisi kupata sense kama upo kwenye Linux OS, na tutorials nyingi mtandaoni, vitabu vingi huwa vina assume unatumia Linux based OS au MacOS, zinakua na Neuroengine ambayo itakupa perfomance ukiwa unafanya Artificial intelligence computations ndani ya PC yako, graphics zake ni nzuri.

View attachment 2962347
Anaweza chukua used/refurbished za below 2020 ni nzuri pia not less than 5hrs kukaa na battery and price ya mac intel imeshuka sn compared to m series,otherwise nunua core i7 with 16gb ram and ssd disk install ubuntu its best for startups kwakua watumiaji ni wengi so code za the same os zipo pia
 
Back
Top Bottom