Naomba kufahamu dalili za mtu mwenye Upungufu wa Akili Kichwani

Mcanada

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
982
Reaction score
1,942
Habari mabibi na mabwana wa jukwaa kubwa la JamiiForums

Sitaki kwenda mbali sana nikawachosha naomba tu kufahamu dalili za mtu anayeanza kuwa na matatizo ya akili kichwani.

Uzi tayari!
 
Yan we ukijiona unacheka mwenyewe, unazungumza mwenyewe. Unahisi kama watu wanakufata fata unapotembea kumbe sio. Hiki nikiashiria kimojawapo.nshaishi namtu wa namna hii tena age 37 halafu hakubaliani na hiyo hali
 
Asante kaka
 
Habari mabibi na mabwana wa jukwaa kubwa la JamiiForums

Sitaki kwenda mbali sana nikawachosha naomba tu kufahamu dalili za mtu anayeanza kuwa na matatizo ya akili kichwani.

Uzi tayari!

wa kwanza ni hawa group la ccm .mda wote wanasherekea mwenge!,maendeleo ya lazima yanakuwa wimbo na masifio,tuta kwenda burundi,tozo,2025 bila kupingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…